Nahitaji mtaji wa milioni 10 ili kufanya biashara

Status
Not open for further replies.
Kwa akili yako ndivyo ulivyoelewa thread yake?

Mimi sija assume, nimesoma nikaelewa hivyo.

Hakuna sehemu aliyoonesha kwamba mtoa fedha atafaidika vipi, sasa huyo atakuwa Sponsor au Investor?
Hawezi pata sponsor wakutoa 10m.

Chances are almost non existence.

Labda uwe mgeni kwenye business.
 
Hawezi pata sponsor wakutoa 10m.

Chances are almost non existence.

Labda uwe mgeni kwenye business.
Na mimi ndio nimemshangaa, ukisoma hata post yangu ya kwanza utaona

Maana yeye anaomba 10 million halafu hasemi mtoa fedha anafaidikaje, yeye anasema tu atatuma andiko lake ili mtoa fedha alioitie kisha akopeshwe. Hasemi hata kama mtoa hela na yeye atapata kitu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…