October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Haha haha sijawai fanya iyokitu mkuu.Oyaa swali la mdau hapo chini mbona hujalijibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha haha sijawai fanya iyokitu mkuu.Oyaa swali la mdau hapo chini mbona hujalijibu?
Hawezi pata sponsor wakutoa 10m.Kwa akili yako ndivyo ulivyoelewa thread yake?
Mimi sija assume, nimesoma nikaelewa hivyo.
Hakuna sehemu aliyoonesha kwamba mtoa fedha atafaidika vipi, sasa huyo atakuwa Sponsor au Investor?
kule kwa moto si mchezo ila ndo hamna kukata tamaa mpka kielewekeKule kwenye FOREX mnapopata $1000+ kwa siku vipi? Au umeamua kumkatisha tamaa mwenzio?
Na mimi ndio nimemshangaa, ukisoma hata post yangu ya kwanza utaonaHawezi pata sponsor wakutoa 10m.
Chances are almost non existence.
Labda uwe mgeni kwenye business.