Nahitaji mtaji wa milioni 10 ili kufanya biashara

Status
Not open for further replies.

Tarick majiji

New Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
1
Reaction score
2
HABARI WANA JAMII??

Naitwa Tarick Majiji nipo morogoro kimasomo Nipo chuo nasoma Diploma ya Information and communication technology (ICT), Natafuta sapoti ya mtu ambaye atakuwa tayari kunishika mkono kibiashara Maana Nina BUSINESS PLAN yangu nimeiandaa baada ya kuona fursa katika biashara iyo.

Kikubwa Naomba MTAJI ambo ni Tsh.Mil10. kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia Anitumie Email ili niweze kumtumia Hiyo business plan yangu endapo kama aikiona inafaa basi anipe msaada huo naouhitaji.

Lakini pia napokea msaada wa maneno japo kuwa nahitaji pesa, ushauri ambao utaweza kunisaidia katika kufanikisha jambo langu Asante.

MAWASIANO YANGU Email: tarikrmajiji@gmail.coo
teywakushea@gmail.com
SIMU:0620170363
 
Tafuta watu wako wa karibu wanaokufahamu na kukuamini.
 
Mkuu check nimekutumia DM, usikatishwe tamaa na watu wa humu. Tunawasiliane kupitia mawasiliano yangu (check dm yako) then kama wazo ni tangible ntakuwezesha lakini tutafanya kama partneship na sio mkopo. Yani we unatoa wazo ni mi naweka pesa. Kuna mwenzio mmoja amepata udhamini wangu last month wa mil 7.8
 
No one is going to invest 10m unless your business is generating some revenue already.

Kuona fursa ya biashara pekee haitosho. Unahitaji kumuonyesha potential investor tayari unao wateja walio kuhakikisha watanuua bidhaa au huduma yako.

Kingine potential investor atakayetaka ku-invest hiyo 10m atataka kufahamu experience yako. If you are starting in business and you have no experiences they won't even bother to listen.

Mkuu zingatia hayo.
 
Fursa hii apa mkuu, njoo ule bingo.
 
Ila na Mimi kuna sehemu nimeona fursa ngoja jmosi niandike plan yangu.
 
No one is going to invest 10m unless your business is generating some revenue already.

Kuona fursa ya biashara pekee haitosho. Unahitaji kumuonyesha potential investor tayari unao wateja walio kuhakikisha watanuua bidhaa au huduma yako.

Kingine potential investor atakayetaka ku-invest hiyo 10m atataka kufahamu experience yako. If you are starting in business and you have no experiences they won't even bother to listen.

Mkuu zingatia hayo.
Mkuu kwani anataka INVESTOR? Anahitaji SPONSOR.
 
HABARI WANA JAMII??

Naitwa Tarick Majiji nipo morogoro kimasomo Nipo chuo nasoma Diploma ya Information and communication technology (ICT), Natafuta sapoti ya mtu ambaye atakuwa tayari kunishika mkono kibiashara Maana Nina BUSINESS PLAN yangu nimeiandaa baada ya kuona fursa katika biashara iyo.

Kikubwa Naomba MTAJI ambo ni Tsh.Mil10. kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia Anitumie Email ili niweze kumtumia Hiyo business plan yangu endapo kama aikiona inafaa basi anipe msaada huo naouhitaji.

Lakini pia napokea msaada wa maneno japo kuwa nahitaji pesa, ushauri ambao utaweza kunisaidia katika kufanikisha jambo langu Asante.

MAWASIANO YANGU Email: tarikrmajiji@gmail.coo
teywakushea@gmail.com
SIMU:0620170363
10mil

Hivyo hivyo na nguo zako?
 
Mkuu kwani anataka INVESTOR? Anahitaji SPONSOR.
Sasa na wewe kwa akili yako kuna mtu atakupa 10m kisa tu una business plan?

Yeye alichotakiwa kufanya ni kutafuta investor anawekeza pesa kwa malengo ya kupata gawio kwenye faida kama business ikipata faida.
 
No one is going to invest 10m unless your business is generating some revenue already.

Kuona fursa ya biashara pekee haitosho. Unahitaji kumuonyesha potential investor tayari unao wateja walio kuhakikisha watanuua bidhaa au huduma yako.

Kingine potential investor atakayetaka ku-invest hiyo 10m atataka kufahamu experience yako. If you are starting in business and you have no experiences they won't even bother to listen.

Mkuu zingatia hayo.
Investor ameshajitokeza hapo juu
 
Daa!!vijana wamekumbwa na msongo wa mawazo.Ndugu yangu maandishi hayawezi kukupa pesa,Fanya jambo then lionyeshe kwa watu na uwashawishi ili wawekeze kwako.Kuna vijana wameanzisha kampuni ya usambaji mafuta kwenye maeneo ya parking.Hivyo wana app yao,hivyo ukitaka mafuta haina haja ya kwenda sheli unachofanya unaweka order then wanakuja ulikopark gari yako then wanakuwekea na malipo wanakata juu kwa juu.Napozungumza wameshaanza kuvutia wawekezaji kama amazon ambao ni wazuri kwenye biashara ya delivery.
 
Sasa na wewe kwa akili yako kuna mtu atakupa 10m kisa tu una business plan?

Yeye alichotakiwa kufanya ni kutafuta investor anawekeza pesa kwa malengo ya kupata gawio kwenye faida kama business ikipata faida.
Kwa akili yako ndivyo ulivyoelewa thread yake?

Mimi sija assume, nimesoma nikaelewa hivyo.

Hakuna sehemu aliyoonesha kwamba mtoa fedha atafaidika vipi, sasa huyo atakuwa Sponsor au Investor?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom