Nahitaji mtoto, naomba msaada nifanikiwe!!!!

Usiwasikilize wanaokushauri usaliti ndoa yako. Ni PM nitakupa msaada mimi mwenyewe nilitafuts for good 6 yrs. But God is great now i have my own children not a child.
huu sasa uchoyo.kwa nini usiweke wazi na wengine wafaidike?nina amini hili tatizo sio lake peke yake
 
huu sasa uchoyo.kwa nini usiweke wazi na wengine wafaidike?nina amini hili tatizo sio lake peke yake

sio uchoyo jamani na wewe kama una tatizo kama hili hujakatazwa kunipm, mbona wengi wameni PM hata ambao hawakuwa walengwa nimewasaidia? mambo mengine ni private ndio maana kukawa na access ya Private Message. karibu uni PM kama una tatizo.
 
Kula vyakukula vya Protein kwawingi, msifanye tendo la ndoa kwamuda wa siku 20 kabla ya ovulation nazaidi, then do it mtafanikiwa.
 
Kula vyakukula vya Protein kwawingi, msifanye tendo la ndoa kwamuda wa siku 20 kabla ya ovulation nazaidi, then do it mtafanikiwa.

Nakushukuru mkuu, sijapata njia sahihi haswa ya kubashiri hizo siku za urutubishwaji, bado natumia zile za kuhesabu siku na kuangalia jotoridi la mwili tu.
 
ndugu pole sana, matatizo ya uzazi yapo sana, unaweza angaika sasa lakini kuna wkt utafika utapata watoto tu. kama umri wenu haujaenda sana namaanisha kama mkeo hajakaribia menopause unaweza subiri. hizo cysts kwenye fellopian tube ni vigumu kuziondoa ila kuna dawa nje ya nchi zinapatikana kutibu ilo tatizo, atazitumia kwa mwaka mmoja na zinaweza leta matokeo. najua we mtu wa imani ila wengi huwa wana chagua kutafuta mtoto wa nje tena baada ya makubaliano na wake zao....na ndoa yao habaki paleapale.
 
yupo kristo yesu bado hamjachelewa kwake. Yy n doctor wa madoctor. Kifup yy anafanya njia pasipo njia.hamna jambo linalomshinda.
kwa hiyo hapa umeshamshauri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…