Ngoja nianze kukufitinisha, duuuuuuh namuonea huruma Smile kuwa na mume mtata kama wewe.Afadhali umesema my sweet wangu...hapa nasikia tu nywele zinacheza cheza kila nikisoma maneno yako!
Baadaye nitakuletea askrimu..
Afrodenzi...usiniambie umevutiwa nayo!Je hiyo ndio picha yako kweli??
Unaguna nini bishanga??? mtu anataka mtoto!mmmmmhhhhh
nenda buguruni kimboka by night ukajaribie mashine yako kakaHabari ya leo natumain muwazima wote.twende kwenye maada kwa yeyeto ambaye yupo tayari tupate mtoto kisha tuje kuoana mi nipo tayari kama nawe upo tayari tuwasiliane 0715005450.0784852291au joseph.eric86@yahoo.co.uk
Afrodenzi...usiniambie umevutiwa nayo!
Usimkatishe taamaa,,,hapa hapa atajipatia mtoto!!nenda buguruni kimboka by night ukajaribie mashine yako kaka
jinsia gani sasa ya kike au ya kiume maana nasikia siku hizi hata mwanaume anabeba mimba ati.......!Habari ya leo natumain muwazima wote.twende kwenye maada kwa yeyeto ambaye yupo tayari tupate mtoto kisha tuje kuoana mi nipo tayari kama nawe upo tayari tuwasiliane 0715005450.0784852291au joseph.eric86@yahoo.co.uk
Habari ya leo natumain muwazima wote.twende kwenye maada kwa yeyeto ambaye yupo tayari tupate mtoto kisha tuje kuoana mi nipo tayari kama nawe upo tayari tuwasiliane 0715005450.0784852291au joseph.eric86@yahoo.co.uk
Nipe basi asuarance kuwa huna time na eric..si unaona kwanza tayari ameshakimbia?
Usimkatishe taamaa,,,hapa hapa atajipatia mtoto!!
Je hiyo ndio picha yako kweli??
Kama sikosei Wewe ndio uliambiwa mkeo afanyiwe operesheni ndio mpate mtoto?mbona unatangatanga?Shughulikia tatizo lililopo mbele na mtapata mtoto.Subira huvuta heriHabari ya leo natumain muwazima wote.twende kwenye maada kwa yeyeto ambaye yupo tayari tupate mtoto kisha tuje kuoana mi nipo tayari kama nawe upo tayari tuwasiliane 0715005450.0784852291au joseph.eric86@yahoo.co.uk
Ndiyo ya kwangu ndg kwn vp
Jinsia yako na umri please!
Kama sikosei Wewe ndio uliambiwa mkeo afanyiwe operesheni ndio mpate mtoto?mbona unatangatanga?Shughulikia tatizo lililopo mbele na mtapata mtoto.Subira huvuta heri
kuanzia sasa uweke picha yako hapo mimi niko kwenye process za kuaploadImetulia kwa kweli ..
Na hongera kwa kuweka picha yako
kwani wengi "we don't have the guts"
Hiyo bhange unayotumia inakupa akili sana! Nigawie na mie kiduchu,lol!
jomse we mchina au maana nahamu ya kujifunza ngumi za kichina ili cameron akija niwe tayari kupambana kabisa