Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,611
- 867
Ngoja nianze kukufitinisha, duuuuuuh namuonea huruma Smile kuwa na mume mtata kama wewe.Afadhali umesema my sweet wangu...hapa nasikia tu nywele zinacheza cheza kila nikisoma maneno yako!
Baadaye nitakuletea askrimu..