Nahitaji mtoto

Nahitaji mtoto

Status
Not open for further replies.
Pole sana, hiyo hedhi ya kuvuka miezi mitatu si kawaida pole sana. Usichoke kutafuta msaada labda utafanikiwa kumpata Dr ambaye anaweza kukusaidia tatizo lako nawe uje kuitwa mama.
 
Pole sana ngoja nikuitie Mzizi mkavu!ukiwa na bahati hatakupa ile tiba yake ya mkojo....
 
Last edited by a moderator:
Pole sana, hiyo hedhi ya kuvuka miezi mitatu si kawaida pole sana. Usichoke kutafuta msaada labda utafanikiwa kumpata Dr ambaye anaweza kukusaidia tatizo lako nawe uje kuitwa mama.

ahsante sana BAK
 
  • Thanks
Reactions: BAK
achana na habari za kuombewa.nenda REGENCY hspl unaweza kupata suluhisho nadhani.
 
Pole, kuna rafiki yangu Alikua na tatizo hilo amekwenda Apolo hospital India na amefanikiwa ana twins sasa... Usife moyo utafanikiwa...
 
Hilo ni tatizo linalowakabili wanawake wengi, kikubwa hapo wewe na mmeo muende Hosp mkapimwe muone kama njia zenu hazina tatizo, baada ya hapo ndipo ujue nini cha kufanya, vinginevyo ukichanganya madawa utasababisha hata kansa ya uzazi
 
Je,huw inachukua muda huo kla kuingia au cku zngne unaingia km wanawake wengine ? Na ushawahi kfanya sex na mmeo wakat wa hedhi yako ?
 
Pole, kuna rafiki yangu Alikua na tatizo hilo amekwenda Apolo hospital India na amefanikiwa ana twins sasa... Usife moyo utafanikiwa...

jaman nisaidie kumuuliza alisaidiwaje kama naweza kuvipata huku kwetu nisaidie plz
 
Hebu Mrs. Xevery utanisaidia kunikumbusha nikuambie dawa mbadala badala ya hizo za kizungu. kuna mahali nilisoma kuwa ukitumia hiyo dawa mimba mara moja! Ngoja nitafuta hilo tilio nikwambie. Pole mama usife moyo Mungu ni mkubwa!
 
nimeolewa ni mwaka na mwez mmoja sasa ila no mimba huwa hedhi yangu inavuka hata miez 3 nilishazunguka mahospital wakanipa vidonge vya majira haikusaidia nikaenda nyingine wakanipa clomid nimetumia miez 3 ila no mimba walisema eti hormone zangu zipo chini nisaidien jamani madoct nahitaj Mtoto nifanyeje

Pole sana dear! Jaribu kwenda pale fertility clinic, karibu na kwa mama lwakatare watakusaidia au tumia Imani yako kuonana mtoto
 
Hebu Mrs. Xevery utanisaidia kunikumbusha nikuambie dawa mbadala badala ya hizo za kizungu. kuna mahali nilisoma kuwa ukitumia hiyo dawa mimba mara moja! Ngoja nitafuta hilo tilio nikwambie. Pole mama usife moyo Mungu ni mkubwa!

ahsante kamanda nasubili jibu lako
 
jaman nisaidie kumuuliza alisaidiwaje kama naweza kuvipata huku kwetu nisaidie plz

Sawa ntamuliza Kesho ntarudi na jibu usijali, lakini baby akipatikana aitwe, jina langu Sawa sitaki chochote kingine... Lol..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom