Nahitaji mtoto

Nahitaji mtoto

Status
Not open for further replies.
Mie hapa nina mpenzi wangu nae alikuwa na tatizo hilo hilo la kupitisha hata miezi mitatu bila hedhi...sijui nlimfanyaje tu hata sikumbuki hadi hilo tatizo likaisha.
 
nimeolewa ni mwaka na mwez mmoja sasa ila no mimba huwa hedhi yangu inavuka hata miez 3 nilishazunguka mahospital wakanipa vidonge vya majira haikusaidia nikaenda nyingine wakanipa clomid nimetumia miez 3 ila no mimba walisema eti hormone zangu zipo chini nisaidien jamani madoct nahitaj Mtoto nifanyeje

i know how you feel. pole sana. jaribu kuangalia pia chakula unachokula, kuna baadhi ya vyakula husaidia kurekebisha hedhi na husaidia kuongeza fertility. kama unaona itakusaidia niambie nitakusaidia kukuelekeza. ni vyakula vya kawaida tu unanunua sokoni.

nitumie email health@healthandlifetz.com
 
nimeolewa ni mwaka na mwez mmoja sasa ila no mimba huwa hedhi yangu inavuka hata miez 3 nilishazunguka mahospital wakanipa vidonge vya majira haikusaidia nikaenda nyingine wakanipa clomid nimetumia miez 3 ila no mimba walisema eti hormone zangu zipo chini nisaidien jamani madoct nahitaj Mtoto nifanyeje
Bibie Mrs Xavier jitahidi kutafuta dawa za kuweza kushika mimba ukishindwa nitafute kwa wakati wako dawa mimi ninazo za kuweza wewe kushika mimba ukihitaji nitafute mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano

Ngoja nikuitie MziziMkavu aje kukuelezea kuhusu sanamaki na zatari.........labda anazijua.........
Ninazijuwa hizo dawa lakini haziwezi kumsaidia huyu kwa sababu na upungufu wa hormone zake zipo chini sana kuna dawa zingine akitumia anaweza kupata mimba.Mkuu Preta
 
nimeolewa ni mwaka na mwez mmoja sasa ila no mimba huwa hedhi yangu inavuka hata miez 3 nilishazunguka mahospital wakanipa vidonge vya majira haikusaidia nikaenda nyingine wakanipa clomid nimetumia miez 3 ila no mimba walisema eti hormone zangu zipo chini nisaidien jamani madoct nahitaj Mtoto nifanyeje

Ha....nilikuwa sijaangalia vizuri jina lako...ukiongeza herufi moja hapo mwisho linakuwa sawa na la mke wangu....
 
Mie hapa nina mpenzi wangu nae alikuwa na tatizo hilo hilo la kupitisha hata miezi mitatu bila hedhi...sijui nlimfanyaje tu hata sikumbuki hadi hilo tatizo likaisha.

na alifanikiwa kupata ujauzito
 
nimeolewa ni mwaka na mwez mmoja sasa ila no mimba huwa hedhi yangu inavuka hata miez 3 nilishazunguka mahospital wakanipa vidonge vya majira haikusaidia nikaenda nyingine wakanipa clomid nimetumia miez 3 ila no mimba walisema eti hormone zangu zipo chini nisaidien jamani madoct nahitaj Mtoto nifanyeje

Hilo tatizo linatibika. Bonyeza hapa
 
ahsante kamanda nasubili jibu lako

Nilisoma kwenye kitabu cha tiba kwa njia za asili hivi: Kwa tatizo kama lako, tafuta mti wa boga, lile boga tunalokula lile. sio mzizi wala majani yake bali mti. uchome uwe mkaa then usage uwe unga. sasa unakuwa unachukua kijiko cha chai kimoja unaweka kwenye maziwa fresh ya moto, unakoroga then unaacha kama dakika moja kisha unakunywa. fanya hivyo kila siku, baada ya siku au wiki chache baba nanii atakuona unaanza kutapika tapika na kukataa baadhi ya vyakula. Mungu akujalie haja ya moyo wako!
 
ubarikiwe kamanda mungu akuzidishie moyo wa kujitolea na akubarik kwa kila jambo ila siwez nikasaga kama juis coz maziwa siendan nayo haiwezekani kuiblend nitumie kama juice
 
Pole sana matatizo kama huwa yanapona nendeni mkacheki afya zenu wote wawili .
 
ubarikiwe kamanda mungu akuzidishie moyo wa kujitolea na akubarik kwa kila jambo ila siwez nikasaga kama juis coz maziwa siendan nayo haiwezekani kuiblend nitumie kama juice

Shukrani...ila glory to God! Kwa kweli hapo sina utalaam kama ukifanya otherwise! maybe jaribu maana hilo mti wa boga sio sumu ni chakula tu! Ngoja niendelee ku-dig mbadala nitakujuza.
 
Fanya uende pale Aghakhan Hospital kama uko dar mwone doctor mmoja anaitwa SHAFIQ ni gynologist mzuri sana kawasaidia dada zetu wengi tu ikishindikana tumia dawa za Mzizi Mkavu tu au uende nje ya nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom