nimeolewa ni mwaka na mwez mmoja sasa ila no mimba huwa hedhi yangu inavuka hata miez 3 nilishazunguka mahospital wakanipa vidonge vya majira haikusaidia nikaenda nyingine wakanipa clomid nimetumia miez 3 ila no mimba walisema eti hormone zangu zipo chini nisaidien jamani madoct nahitaj Mtoto nifanyeje
Bibie Mrs Xavier jitahidi kutafuta dawa za kuweza kushika mimba ukishindwa nitafute kwa wakati wako dawa mimi ninazo za kuweza wewe kushika mimba ukihitaji nitafute mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasilianonimeolewa ni mwaka na mwez mmoja sasa ila no mimba huwa hedhi yangu inavuka hata miez 3 nilishazunguka mahospital wakanipa vidonge vya majira haikusaidia nikaenda nyingine wakanipa clomid nimetumia miez 3 ila no mimba walisema eti hormone zangu zipo chini nisaidien jamani madoct nahitaj Mtoto nifanyeje
Ninazijuwa hizo dawa lakini haziwezi kumsaidia huyu kwa sababu na upungufu wa hormone zake zipo chini sana kuna dawa zingine akitumia anaweza kupata mimba.Mkuu PretaNgoja nikuitie MziziMkavu aje kukuelezea kuhusu sanamaki na zatari.........labda anazijua.........
nimeolewa ni mwaka na mwez mmoja sasa ila no mimba huwa hedhi yangu inavuka hata miez 3 nilishazunguka mahospital wakanipa vidonge vya majira haikusaidia nikaenda nyingine wakanipa clomid nimetumia miez 3 ila no mimba walisema eti hormone zangu zipo chini nisaidien jamani madoct nahitaj Mtoto nifanyeje
Sawa ntamuliza Kesho ntarudi na jibu usijali, lakini baby akipatikana aitwe, jina langu Sawa sitaki chochote kingine... Lol..
Duh pole mwaya umejaribu hii dawa DUPHASTON wanasema ni nzuri sana.
Mie hapa nina mpenzi wangu nae alikuwa na tatizo hilo hilo la kupitisha hata miezi mitatu bila hedhi...sijui nlimfanyaje tu hata sikumbuki hadi hilo tatizo likaisha.
Ha....nilikuwa sijaangalia vizuri jina lako...ukiongeza herufi moja hapo mwisho linakuwa sawa na la mke wangu....
nimeolewa ni mwaka na mwez mmoja sasa ila no mimba huwa hedhi yangu inavuka hata miez 3 nilishazunguka mahospital wakanipa vidonge vya majira haikusaidia nikaenda nyingine wakanipa clomid nimetumia miez 3 ila no mimba walisema eti hormone zangu zipo chini nisaidien jamani madoct nahitaj Mtoto nifanyeje
ahsante kamanda nasubili jibu lako
Nilisoma kwenye kitabu cha tiba kwa njia za asili hivi: Kwa tatizo kama lako, tafuta mti wa boga, lile boga tunalokula lile. sio mzizi wala majani yake bali mti. uchome uwe mkaa then usage uwe unga. sasa unakuwa unachukua kijiko cha chai kimoja unaweka kwenye maziwa fresh ya moto, unakoroga then unaacha kama dakika moja kisha unakunywa. fanya hivyo kila siku, baada ya siku au wiki chache baba nanii atakuona unaanza kutapika tapika na kukataa baadhi ya vyakula. Mungu akujalie haja ya moyo wako!
ubarikiwe kamanda mungu akuzidishie moyo wa kujitolea na akubarik kwa kila jambo ila siwez nikasaga kama juis coz maziwa siendan nayo haiwezekani kuiblend nitumie kama juice
Shukrani...ila glory to God! Kwa kweli hapo sina utalaam kama ukifanya otherwise! maybe jaribu maana hilo mti wa boga sio sumu ni chakula tu! Ngoja niendelee ku-dig mbadala nitakujuza.
Ask your husband to go fora fertility check too!
na alifanikiwa kupata ujauzito