Nahitaji mtu aliepo Morogoro, Ifakara anipe ABC za mchele sasa hivi?

aBuwash

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2023
Posts
262
Reaction score
497
Natumai wote mko sawa humu ndani.

Naombeni msaada mtu yeyote au mfanyabiashara yeyote aliyepo Dar anipe maelekezo vizuri kuhusu mchele.

1. Bei zipoje sasa mashineni
2. Je ni kweli muda si mrefu bei zitashuka na zikishuka huwa zinafikia bei gani
3. Usafiri mpka dar kwa kilo mia bei gani na ushuru pia

Kitu kingine wafanyabiashara wenzang wa mchele huo mchele wa 1200 munautoa wapii mbona mimi sielew nautafuta siupatii

Halafu wateja wangu wa mbagala ni hali ya chini na mimi nina supa nisaidieni jamni kwa hilo
 
Njoo inbox
 
Back
Top Bottom