Harris Khan
New Member
- Feb 29, 2020
- 1
- 2
Scania wamekuwa kama maccm bei zao zinaua hawajali kabisa mtu wa chini dawa Yao Iko jiko . Mchina baba ndio mambo yote . Mchina anakuja kuimaliza Scania kwa Hapa Tànzania. Mtakuja kubaki tuu na haya ma 113 yenu ya kizamani . Scania hawana issue kwa sasa , Nasema ZUCHUUU .... bila kusahau HOWO, SHACMAN, DONG FENG, FAW, etc.
Mkuu umeona Jinsi Man Diesel zinavyoongezeka na Mercedes Benz Axor na ActrosScania wamekuwa kama maccm bei zao zinaua hawajali kabisa mtu wa chini dawa Yao Iko jiko . Mchina baba ndio mambo yote . Mchina anakuja kuimaliza Scania kwa Hapa Tànzania. Mtakuja kubaki tuu na haya ma 113 yenu ya kizamani . Scania hawana issue kwa sasa , Nasema ZUCHUUU .
Hizo Chinese trucks zote zinaendana, Tofauti ndogo kwenye cabin na gearbox. Engine zote zinatumia Weichai na Dongfeng CumminsDongfeng truck zipoje wakuu
Asante ,vipi kwenye uimara na kudumu na maintainance cost?Hizo Chinese trucks zote zinaendana, Tofauti ndogo kwenye cabin na gearbox. Engine zote zinatumia Weichai na Dongfeng Cummins