Nahitaji mtu anaejua kuhusu magari ya mizigo (Trucks like Scania, Man, Iveco)

Harris Khan

New Member
Joined
Feb 29, 2020
Posts
1
Reaction score
2
Habari ndugu, natumai mnaendelea salama.

Samahani naomba yeyote ambae ni expert ama mtaalamu wa magari makubwa, anitxt kwenye namba 0674573783 whatsapp.

Nataka Awe anajua vifaa vyote na matumizi yake, tutazungumza bei kipindi atakachonifunza mpaka kuweza kuvimaster majina na kazii za vifaa vyote.

Ahsanteni.
 
Mkuu weka model ya hizo Scania,Iveco au Man.

Kama Scania ni model ipi au series ipi mfano series 4 kuna 94/114/124 kuna matoleo kulingana na cabin na kazi P,D,L,C,G na R.

Iveco unataka Euro Traker au Stralis
 
[QUOTE="Offshore Seamen, post: 46530356, member: 479701"
Habari ndugu, natumai mnaendelea salama.

Samahani naomba yeyote ambae ni expert ama mtaalamu wa magari makubwa, anitxt kwenye namba 0674573783 whatsapp.

Nataka Awe anajua vifaa vyote na matumizi yake, tutazungumza bei kipindi atakachonifunza mpaka kuweza kuvimaster majina na kazii za vifaa vyote.

Ahsanteni.
[/QUOTE]
Je unahitaji kwa ajili ya kutaka kununua,kuanzisha garage au kuuza vipuri maana si kwa vipengere ulivyotaka mtu awenavyo
 
Kuelewa part zote za gari kwa maana ipi

Yaani kama Ni injini tunaisambaza yote unaanza kuelezewa part moja moja
 
... bila kusahau HOWO, SHACMAN, DONG FENG, FAW, etc.
 
Huweza kujua tu kwa kukariri kwa vitabu au tuition [emoji1]
Inabidi uingie field mkuu kama maduka ya spea za magari hayo makubwa

Hakuna anae master kwa kusoma tu
 
... bila kusahau HOWO, SHACMAN, DONG FENG, FAW, etc.
Scania wamekuwa kama maccm bei zao zinaua hawajali kabisa mtu wa chini dawa Yao Iko jiko . Mchina baba ndio mambo yote . Mchina anakuja kuimaliza Scania kwa Hapa Tànzania. Mtakuja kubaki tuu na haya ma 113 yenu ya kizamani . Scania hawana issue kwa sasa , Nasema ZUCHUUU .
 
Mkuu umeona Jinsi Man Diesel zinavyoongezeka na Mercedes Benz Axor na Actros
 
Back
Top Bottom