Nahitaji mtu mzima nitulie nae

Miak 25 unataka mzee wa miaka 60. Unasema eti vijana waongo. Huenda ww ndio una shida. Vijana wanaojitambua wapo tena ni wengi.
 
Walio ndani ya ndoa wanatamani kutoka na walio nje ya ndo wanatamani kuingia
 
Miak 25 unataka mzee wa miaka 60. Unasema eti vijana waongo. Huenda ww ndio una shida. Vijana wanaojitambua wapo tena ni wengi.
Anataka kwenda kulea kibabu.

Atarudi tu kwa vijana huyu bado moto unawaka
 
Kwa nyuzi zote za huyu dada nilizopitia nahisi namjua ni dada mmoja anaependa mafanikio bila kufanya kazi nilishawahi kubadilishana nae mawazo na kumshauri Sana ila hakuwahi niambia kama anamtoto ila location anazotaja nahisi namjua

Salome popote ulipo kama ni wewe nakushauri acha hizo mbishe kwanza ni mdada furani mjuaji mwenye sauti ya ukali na nilimwambia hicho sikumficha kama ndo wewe ndugu ushauri wangu ni uleule pambana dada hela yako tamu kuliko ya mtu
 
Eti salome [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe una shida gan kwan??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…