Haijalishi, lakini Mzee mwenye miaka 45 technically anaweza kukuzaa wewe. Unless uwe umedanganya umri wako.
Unaposema vijana ni hit & run Hilo lipo kila sehemu hata kwa wazee. Kuna wazee wengi tu hawapati haki za ndoa nyumbani sababu wake zao wamezeeka na wamekuwa wasumbufu. Nao wapo mawindoni wanatafuta pa kumpunguzia semen. Na hawataki kuvunja ndoa zao. Be careful
Na ndio maana baadhi ya wachangiaji wamekutahadharisha kuwa wewe ndio una tatizo, you need to do something on yourself for yourself by yourself. Ndipo mwanaume yeyote ataona value ndani yako, na atakupenda.
Kumbuka: mwanaume ana machaguzi hata 200 ya mwanamke amtakaye, je mwenendo wako, tabia zako, Vaa yako, ongea yako zinaweza kuku support mbele ya mtu anayetafuta mke?
Je nikitia timu yangu ya upelelezi mtaani kwako, jamii inayokuzunguka inasemaje kuhusu wewe?