Nahitaji mtu mzima nitulie nae

Nahitaji mtu mzima nitulie nae

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,845
Reaction score
2,024
Habarini wapendwa,kama kichwa kinavojieleza nahitaji mtu mzma wa kutulia nae nimechoka hekaheka za vijana na uwongo wao.
Mtu mzma ninaemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 45 mpaka 60,dini yoyote,kabila lolote pia awe anajiweza kiuchumi.
Mimi ni single mama wa mtoto mmoja niko na 25 years dini ni mkristo pia ni mjasiriamali.
Note:Awe tayari kucheck afya pia nahitaji wa kutulia nae sio hit and run
Serious inbox me
 
Huko ni kutunyima vijana wenzio fursa ya kuoa, Kwani ukipata kijana mwenzio hutoweza kutulia? Unaweza kupata huyo Oldman ikawa ndo chanzo cha kuzidisha vyenga.
Kwanini umesisitiza awe anajiweza kiuchumi?
 
Huko ni kutunyima vijana wenzio fursa ya kuoa, Kwani ukipata kijana mwenzio hutoweza kutulia? Unaweza kupata huyo Oldman ikawa ndo chanzo cha kuzidisha vyenga.
Kwanini umesisitiza awe anajiweza kiuchumi?
Ili aweze kunihudumia huduma ninazostahili as his partner,vijana me hapana kwakwel uongo mwingi iman kwao imekufa let me try huku kwngne nionee
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hadi unakubali mwenyewe, inamaana hit and run zimepigwa za kutosha

Eeenh huyo malaika baba yake amekufa mwaka gani?
Noo,sio kukubali but nimesema hivo ili mtu anielewe kuwa sitaki hit and run nataka wa kuwa nae siku zote
 
Back
Top Bottom