Nahitaji mtu tuunganishe nguvu tuingie kwenye kilimo

Nahitaji mtu tuunganishe nguvu tuingie kwenye kilimo

unataka kwa mkataba gani au huyo unayemuhitaji msaidiane vipi
 
Nawaza kijana wa Dar atakavyoingia shambani na suruali "modo" kanyoa kiduku, earphone zake akakutana na majani washa!
Kesho yake atanwambia mbia mwenzake wa bush..."oh please naomba uendelee nitakuja hu shamba mwezi ujao!"
 
Back
Top Bottom