Nahitaji mtu tuunganishe nguvu tuingie kwenye kilimo

Nahitaji mtu tuunganishe nguvu tuingie kwenye kilimo

Mkuu nimependa sana wazo, mm ni mkulima nalima morogoro nina uzoefu wa kulima nyanya na mpunga maeneo ya dumila

kwasasa nipo dar vp ushapata mtu wa kushirikiana nae?
 
Mkuu nimependa sana wazo, mm ni mkulima nalima morogoro nina uzoefu wa kulima nyanya na mpunga maeneo ya dumila

kwasasa nipo dar vp ushapata mtu wa kushirikiana nae?
ekari moja kwa dumila wastani sh ngapi kuhudumia na mapato ni gunia ngapi za debe ngapi
 
yote mawili alaf vp mpunga mshaanza kuvuna
Mkuu mpunga bado hatujaanza kuvuna, gunia la mpunga linauzwa 60-70 shamba wakati wa kuvuna ila bei za shambani inategemea umbali wa shambani kwako, inategemea na mbegu uliyolima nk
 
ekari moja kwa dumila wastani sh ngapi kuhudumia na mapato ni gunia ngapi za debe ngapi
Kuhudumia kuna gharama za kukodi shamba mara nyingi inakuaga 50,000/= pamoja na ngoto (yani ukivuna unampa gunia moja mwenye shamba kwa kila heka utakayokodi) kulima kwa trekta 50,000/= mbegu 20,000/= kumwaga mpunga 80,000/= kuna kung'olea majani hapo itategemea kama yatakuwepo au laa na kama yapo itategemea wingi wake kinachofata kuvuna

Kama shamba umelima vizuri mbegu nzuri umemwaga vizuri na maji yameingia vizuri tunakadiria unaweza kuvuna gunia 15 japo zinaweza kuzidi au kupungua itategemea na vitu hivyo nilivyokutajia
 
Wanajamvi na tumaini mko poa mimi ni kijana ambae nahitaji nitimize ndoto zangu kupitia kilimo.
Nilikuwa natafuta mtu alie serious tuingie kwenye kilimo mkoa wowote ambao tutaona unafaa.
Anaye hitaji aje pm au anitafute kwa namba 0657623266
Kilimo gani mkuu sema tuingie mlele katavi mzee
 
Mkuu kuwa makini na mambo ya kushare yanachangamoto nyingi sana hasa ky share na MTU usiyemfahamu vzr

My advice: jitahidi kukomaa mwenyewe hata kwa nusu eka

NI KWELI KABISA LKN UKIMPATA MTU ANAYEJIELEWA UTAFURAHI SANA. SEMA TUU UNAONEKANA UNAPENDA USHIRIKIANO OMBA MUNGU AKUPATIE PERFECT COMBO MKUU...
 
Back
Top Bottom