clinton gidioni
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 145
- 165
Yani tuchange mtaji tulime tukisha lima tugawe faida kidogo huku tukiendelea hadi pale tutakapo ona inatoshaunataka kwa mkataba gani au huyo unayemuhitaji msaidiane vipi
Wewe una mtaji kiasi gani? Mkoa upi unapenda project hii ifanyike?Yani tuchange mtaji tulime tukisha lima tugawe faida kidogo huku tukiendelea hadi pale tutakapo ona inatosha
Kwa sasa nipo dar ila ningependa hii project niifanyie morogoroWewe una mtaji kiasi gani? Mkoa upi unapenda project hii ifanyike?
Ningependa hii project niifanyie morogoroWewe una mtaji kiasi gani? Mkoa upi unapenda project hii ifanyike?
Kwa sasa nipo dar ila ningependa hii project niifanyie morogoro[/QUOT
Mkuu na wewe pia unakaribishwa karibu tuanze safari.
Kwa sasa nipo dar nakuja tuyajengeUpo wapi kwasasa? Watsapp +258869889926 tuyajenge
Hizi ID ni za mtu mmoja?Kwa sasa nipo dar ila ningependa hii project niifanyie morogoro
Mk
Ningependa hii project niifanyie morogoro
Ndio,Hizi ID ni za mtu mmoja?
Ndio, kajichanganya mkuuHizi ID ni za mtu mmoja?
Em ukuje kuleeeeee Chitchat tunasema wenye ID zingine nini sababuNdio, kajichanganya mkuu
Nikweli mkuu asante sana.Mkuu kuwa makini na mambo ya kushare yanachangamoto nyingi sana hasa ky share na MTU usiyemfahamu vzr
My advice: jitahidi kukomaa mwenyewe hata kwa nusu eka
Asante kwa kunielewaNikweli mkuu asante sana.
ungana na baraka sheni hapo juu,kamwe hatakutapeliNikweli mkuu asante sana.