Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
ekari moja kwa dumila wastani sh ngapi kuhudumia na mapato ni gunia ngapi za debe ngapiMkuu nimependa sana wazo, mm ni mkulima nalima morogoro nina uzoefu wa kulima nyanya na mpunga maeneo ya dumila
kwasasa nipo dar vp ushapata mtu wa kushirikiana nae?
Zao gani mkuu?ekari moja kwa dumila wastani sh ngapi kuhudumia na mapato ni gunia ngapi za debe ngapi
yote mawili alaf vp mpunga mshaanza kuvunaZao gani mkuu?
Mkuu mpunga bado hatujaanza kuvuna, gunia la mpunga linauzwa 60-70 shamba wakati wa kuvuna ila bei za shambani inategemea umbali wa shambani kwako, inategemea na mbegu uliyolima nkyote mawili alaf vp mpunga mshaanza kuvuna
Kuhudumia kuna gharama za kukodi shamba mara nyingi inakuaga 50,000/= pamoja na ngoto (yani ukivuna unampa gunia moja mwenye shamba kwa kila heka utakayokodi) kulima kwa trekta 50,000/= mbegu 20,000/= kumwaga mpunga 80,000/= kuna kung'olea majani hapo itategemea kama yatakuwepo au laa na kama yapo itategemea wingi wake kinachofata kuvunaekari moja kwa dumila wastani sh ngapi kuhudumia na mapato ni gunia ngapi za debe ngapi
Kilimo gani mkuu sema tuingie mlele katavi mzeeWanajamvi na tumaini mko poa mimi ni kijana ambae nahitaji nitimize ndoto zangu kupitia kilimo.
Nilikuwa natafuta mtu alie serious tuingie kwenye kilimo mkoa wowote ambao tutaona unafaa.
Anaye hitaji aje pm au anitafute kwa namba 0657623266
Kwann ana ID mbiliHizi ID ni za mtu mmoja?
Mkuu kuwa makini na mambo ya kushare yanachangamoto nyingi sana hasa ky share na MTU usiyemfahamu vzr
My advice: jitahidi kukomaa mwenyewe hata kwa nusu eka
Kilimo gani mkuu sema tuingie mlele katavi mzee