aah home boyHabari za wakati huu wana jukwaa
Nahitaji kupata mtu kwa ajili ya kufanya nae biashara joint kwenye shughuli za uchimbaji
Nina uzoefu wa miaka 2 kwa sasa,nikiwa namiliki duara kadhaa,miaro ikiwa na crush(garasha),mashamba yenye uwezo wa kuchimba
Napatikana mkoa wa Mara wilaya ya Bunda
Ninae mhitaji walau awe na mtaji unaoanzia walau 50m aje tufanye kazi ya kuzalisha marudio (vifusi)
Ukiwa na mtaji huo wa 50m uhakika baada ya Mwaka unaweza kupata kuanzia mara 2 na kuendelea
Ukivutiwa tuwasiliane,uje uone kwanza then hatua zingine zinafuata baada ya kujiridhisha
Nipigie 0623086089
Pamoja na kuwa na vision,dhamira nzuri katika project yako sikushauri kufanya biashara ya ubia Tanzania kwani ni pasua kichwa na mara nyingi huishia pabaya. Bora utafute other alternatives kama loan ufanye mwenyeweaah home boy
Asante kwa ushauri,akipatikana tunaandikishana kisheria makubaliano yetu!Pamoja na kuwa na vision,dhamira nzuri katika project yako sikushauri kufanya biashara ya ubia Tanzania kwani ni pasua kichwa na mara nyingi huishia pabaya. Bora utafute other alternatives kama loan ufanye mwenyewe
Kwa bahati mbaya sana Watanzania hawana utamaduni wa kuheshimu sheria nadhani kwakua wanajua wanaweza wakanunua hukumu. Naongea hii kwa kuzingatia experience yangu binafsi. Swala la ubia liwe ni option yako ya mwisho kabisa kuwa ukikutana na matokeo usiotarajia hutakuwa na lakupoteza .Asante kwa ushauri,akipatikana tunaandikishana kisheria makubaliano yetu!
Sahihi mkubwaKwa bahati mbaya sana Watanzania hawana utamaduni wa kuheshimu sheria nadhani kwakua wanajua wanaweza wakanunua hukumu. Naongea hii kwa kuzingatia experience yangu binafsi. Swala la ubia liwe ni option yako ya mwisho kabisa kuwa ukikutana na matokeo usiotarajia hutakuwa na lakupoteza .
Katika kitu kimoja wapo ambacho kitakufelisha kwenye hii nchi ni kufata sheria...!!!!Asante kwa ushauri,akipatikana tunaandikishana kisheria makubaliano yetu!