Nahitaji mtu wa kuniletea mchele kutoka mkoani kunzia tani 2 na kuendelea

BATULUNGE

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Posts
391
Reaction score
633
Habari ya weekend wana jf

Mimi ni mfanyabiashara wa duka la vyakula na mahitaji mengine muhimu ya kila siku na tangu nianze biashara hii ni zaidi ya mwaka sasa na mwelekeo wa kibiashara ni mzuri, hivyo nimeona nianzishe biashara ya kuuza nafaka kwa jumla na rejareja hasa ukizingatia eneo nilipo lina uhitaji mkubwa wa bidhaa za nafaka.

Hivyo nahitaji mfanyabiashara anayeweza kuniletea nafaka kati ya hizi Mchele, Maharage ya njano na Soya, njegere, uwele, karanga, choroko, na karanga, ila mchele ndio kipaumbele cha kwanza.

Kwa atakaye kuwa tayari anaweza kuwasiliana nami kwa namba 0656077998.
 
upo mkoa gan mkuu
 
Mimi nipo mwanza ndo biashara yangu hizo tani ninazo tena na zaidi ila unapendelea supa au wa kawaoda
 
MTUPE MAREJESHO JAMANI BIASHARA ZIKIFANYIKA

OVA
 
Unapatikana wapi
 
Katoa namba so kama uko serious mnamalizana huko,, hapa mara tapeli utajichanganya bure.
 
Kama una muda Kijana twende kahama tukachukue mchele mm napeleka arusha kutoka kahama,na magari ya kupeleka Mzigo dar yapo kibao kwa bei chee, Kama uko serious fata Mzigo mwenyewe uone faida yake Hii ya kuletewa utauziwa bei kubwa ndugu yangu , ni ushauri tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…