BATULUNGE
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 391
- 633
Habari ya weekend wana jf
Mimi ni mfanyabiashara wa duka la vyakula na mahitaji mengine muhimu ya kila siku na tangu nianze biashara hii ni zaidi ya mwaka sasa na mwelekeo wa kibiashara ni mzuri, hivyo nimeona nianzishe biashara ya kuuza nafaka kwa jumla na rejareja hasa ukizingatia eneo nilipo lina uhitaji mkubwa wa bidhaa za nafaka.
Hivyo nahitaji mfanyabiashara anayeweza kuniletea nafaka kati ya hizi Mchele, Maharage ya njano na Soya, njegere, uwele, karanga, choroko, na karanga, ila mchele ndio kipaumbele cha kwanza.
Kwa atakaye kuwa tayari anaweza kuwasiliana nami kwa namba 0656077998.