Nahitaji mtu wa kunisimamia kwa maslahi yetu wote

Joined
Feb 27, 2013
Posts
46
Reaction score
3
Mm ni artist wa kizaz kipya {bongo fleva} ninae wakilisha Mkoa wa Rukwa.

Mkoa wetu bado hauna star nina nyimbo 21 kali na za maana na sokoni ziko 16 na video 3. Sijafanya promo popote zaidi ya radio ya nyumbani kwa sasa nipo Dar na hustle natafuta mtu wa kusimamia kazi zangu tufanye biashara yenye maslahi kwa wote kupitia talent yangu.
 
Wewe kwani hujaelewa bana, lugha zimekuja na meli usijifanye waijua sana, kama unaweza msaidia saidia kama huwezi kafundishe english
 
Tuma wimbo tusikie [email protected]
 
Jina la ki sanii unaitwa nani?
Na Dar upo erea gani?
 
mi nikupe ushauri wa bure kama ukimpata meneja hakikisha unahama rukwa unakuja dar maana kampuni za video,tv stations,music studios zote ziko huku jembe langu
 
Mungu akupe hitaji la moyo wake.
umeonesha nia na umeamua kutafuta. Atafutaye hachoki, akichoka kesha......
Kila la Kheri mzee wa Rukwa.
by the way, Rukwa (Sumbawanga) unakotoka ndo kule kwa mheshimiwa Pinda?
 
Wewe kwani hujaelewa bana, lugha zimekuja na meli usijifanye waijua sana, kama unaweza msaidia saidia kama huwezi kafundishe english

duh! Aksante man but wengine hawa pend ukwel angalia ac kuchukie 7babu ya post yangu
 
Hebu weka hizo video tatu watu wapime kama unafaa kwa investment?
 
Mungu akupe hitaji la moyo wake.
umeonesha nia na umeamua kutafuta. Atafutaye hachoki, akichoka kesha......
Kila la Kheri mzee wa Rukwa.
by the way, Rukwa (Sumbawanga) unakotoka ndo kule kwa mheshimiwa Pinda?

ndio kaka
 
kwa urahisi zaid niskize leo google {poz b star} uckie kaz yangu mpya track ni remix beat chorus ya izo kutoka mbeya
nimefanya verse 3
izzo busness chorus
 
kwa urahisi zaid niskize leo google {poz b star} uckie kaz yangu mpya track ni remix beat chorus ya izo kutoka mbeya
nimefanya verse 3
izzo busness chorus Utaina picha yangu ktk icon nimevaa t_shirt ya blue
 
Back
Top Bottom