Poz bizo swaxter
Member
- Feb 27, 2013
- 46
- 3
Mm ni artist wa kizaz kipya {bongo fleva} ninae wakilisha Mkoa wa Rukwa.
Mkoa wetu bado hauna star nina nyimbo 21 kali na za maana na sokoni ziko 16 na video 3. Sijafanya promo popote zaidi ya radio ya nyumbani kwa sasa nipo Dar na hustle natafuta mtu wa kusimamia kazi zangu tufanye biashara yenye maslahi kwa wote kupitia talent yangu.
'sereous'ndio nini?
'sereous'ndio nini?
Wewe kwani hujaelewa bana, lugha zimekuja na meli usijifanye waijua sana, kama unaweza msaidia saidia kama huwezi kafundishe english
Tuma wimbo tusikie kirirecordstz@gmail.com
Jina la ki sanii unaitwa nani?
Na Dar upo erea gani?
Jina la ki sanii unaitwa nani?
Na Dar upo erea gani?
mi nikupe ushauri wa bure kama ukimpata meneja hakikisha unahama rukwa unakuja dar maana kampuni za video,tv stations,music studios zote ziko huku jembe langu
Mungu akupe hitaji la moyo wake.
umeonesha nia na umeamua kutafuta. Atafutaye hachoki, akichoka kesha......
Kila la Kheri mzee wa Rukwa.
by the way, Rukwa (Sumbawanga) unakotoka ndo kule kwa mheshimiwa Pinda?
Hebu weka hizo video tatu watu wapime kama unafaa kwa investment?