Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo hapa.Wakuu za mida,
Natafuta mtu wa ku translate document kutoka English to swahili. Ni kazi ya haraka please share your contact nikutafute
Kuna page 15 hivi....
Acha kutuchosha nenda basataWakuu za mida,
Natafuta mtu wa ku translate document kutoka English to swahili. Ni kazi ya haraka please share your contact nikutafute
Kuna page 15 hivi....
Whatever!! Usitujoshe!! Pesa yenyewe huna ya kumlipa mtafsiri.Siwezi kukulaumu. Huna kosa ni wazazi wako kutotumia condoms wakati zinagaiwa bure na USAID
Page 15 ndani ya usiku mmoja? Mkuu are you serious?Naomba hiyo kazi mkuu utaipata kabla hakujakucha.
Chache sana mkuu, try me.Page 15 ndani ya usiku mmoja? Mkuu are you serious?
Hela haishindwi kitu, Mpunga mzuri tunaikesheaPage 15 ndani ya usiku mmoja? Mkuu are you serious?
Hiyo document inahusu fani gani, lazima mkalimani ajue inahusu afya, uhandisi, au dini.Wakuu za mida,
Natafuta mtu wa ku translate document kutoka English to swahili. Ni kazi ya haraka please share your contact nikutafute. Sio mambo ya Google translator please! Hiyo hata mimi ningeshafanya kitambo tu
Kuna page 15 hivi....
BAKITAAcha kutuchosha nenda basata