Nahitaji mtu wa kutafsiri matini yangu toka Kiingereza kuja kiswahili

Wakuu za mida,

Natafuta mtu wa ku translate document kutoka English to swahili. Ni kazi ya haraka please share your contact nikutafute. Sio mambo ya Google translator please! Hiyo hata mimi ningeshafanya kitambo tu

Kuna page 15 hivi....
Tumia AI, save pesa.
 
Kindly see your PM
 
Back
Top Bottom