zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,483
- 1,705
- Thread starter
- #21
HV MMETEMBEA AU MNAKISIA TUUNi kweli mkuu,kilimo ni mtaji na kuwekeza kwenye kilimo cha kutegemea mvua ni probability;na pia mwamko wa watu kuwekeza kusini ni mdogo.
KILIMO CHA MAHINDI,MAHARAGE,ALIZETI,MTAMA,ULEZI KUNA SOKO KUBWA HAPA TUNDUMA NA WAFANYABIASHARA TOKA KONGO NA NCHI JIRAN WANANUNUA HAPA
Matajir kibao tunduma ni wakulima huku