Nahitaji mtu wa kuwekeza kwenye shamba langu

Ni kweli mkuu,kilimo ni mtaji na kuwekeza kwenye kilimo cha kutegemea mvua ni probability;na pia mwamko wa watu kuwekeza kusini ni mdogo.
HV MMETEMBEA AU MNAKISIA TUU

KILIMO CHA MAHINDI,MAHARAGE,ALIZETI,MTAMA,ULEZI KUNA SOKO KUBWA HAPA TUNDUMA NA WAFANYABIASHARA TOKA KONGO NA NCHI JIRAN WANANUNUA HAPA

Matajir kibao tunduma ni wakulima huku
 
Kuna lami,lipo barabarani,nauli from bora ni elf2 tuu HILI HALiwezi kunifia mkuu

Mji ndio unakuwa my b kujui CHIWANDA

HUKU SIO MBALI MY B USEME NI MBALI NA DAR
 
Kuna lami,lipo barabarani,nauli from bora ni elf2 tuu HILI HALiwezi kunifia mkuu

Mji ndio unakuwa my b kujui CHIWANDA

HUKU SIO MBALI MY B USEME NI MBALI NA DAR
Lingekuwa lipo mikoa ya kaskazini,tungejadili zaidi.Kwa sababu ili likulipe vizuri inabidi liwe na uhakika wa maji na ulime mazao ya muda mfupi pamoja na ufugaji.
 
Lingekuwa lipo mikoa ya kaskazini,tungejadili zaidi.Kwa sababu ili likulipe vizuri inabidi liwe na uhakika wa maji na ulime mazao ya muda mfupi pamoja na ufugaji.
Okay sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…