Nahitaji Mtu wa marketing wa kufanya naye kazi

Kivuyoo

Senior Member
Joined
Feb 22, 2022
Posts
104
Reaction score
138
Habari wakuu
Mimi nina kampuni japokua bado ni changa ofisi ipo Africana, nahitaji watu wa marketing sio wa kuwaajiri ila tunawaeza kuarange terms tukalipana kwa kazi.

Kampuni ina husika na uuzaji na ufungaji wa security systems and networking.

Kwa anaeweza nicheck kwenye office number +255 762 998 998.
 
Habari wakuu
Mimi nina kampuni japokua bado ni changa ofisi ipo Africana, nahitaji watu wa marketing sio wa kuwaajiri ila tunawaeza kuarange terms tukalipana kwa kazi
Kampuni ina husika na uuzaji na ufungaji wa security systems and networking.

Kwa anaeweza nicheck kwenye office number +255 762 998 998
Wakibaki baki unaweza nipasia na mimi kama naweza fika nao agreement
 
Utaki amini au ahahaha
Marketing ni pana sana. Lazima mtaalam aweke mpango kazi mezani kulingana na definition iliyotumikana kampuni kwa wateja. Strategies zinatokan na potential clients na scope ya operation ya kampuni husika au kusoma market ya baishara nzima na kuwafaham competitors. Lakin pia marketing inakwenda na facilities..

Angesema tu Right Way In Light kampuni yake inahusika na nn, mm nina uzoef wa health care industry ninshushiepo CV
 
Mmmh weee jamaa nilikua nakuchukulia poa sana kule jukwaa letu la polisi....
Ila kwa ulivoshuka hapa daah hadi nimechoka
 
Hum kuna watu serious halaf sio serious halaf hao hao tena ndio wazinguaje kwel linapokuja suala lankazi nankufanya mambo ya msingi. Nina uzoefu mkubwa sana na watu wa humu kwenye hili eneo, so wala usiogope sana maneno
 
Kuliteka soko lazima ulisome likoje.. lobbying is neither come with prophecy nor fortunes.

Hapo kama jamaa anajiwez atoe tenda kwa kampuni nyingine zinzoweza kuntangazia hii (outsourcing). Akichukua mtu amuajir leo ampe mkataba na target kama kampuni changa iwe na facilities za kutosha.

Na mara nyingi hizi za mikataba atoe na advance ya kuendesha shughuli za kiofis lah! Aajiri marketing manager waset hizo target kwa sales personnel

Uko sahihi kwa maelezo tu umenena kwa ufasaha kabisaa
 
Hum kuna watu serious halaf sio serious halaf hao hao tena ndio wazinguaje kwel linapokuja suala lankazi nankufanya mambo ya msingi. Nina uzoefu mkubwa sana na watu wa humu kwenye hili eneo, so wala usiogope sana maneno
Daaah ani mkuu acha kabisa watu humu mbona kama wapo vizri sana wee angalia mtu anavyochambua mambo kudadek ahaha
 
Kuliteka soko lazima ulisome likoje.. lobbying is neither come with prophecy nor fortunes.

Hapo kama jamaa anajiwez atoe tenda kwa kampuni nyingine zinzoweza kuntangazia hii (outsourcing). Akichukua mtu amuajir leo ampe mkataba na target kama kampuni changa iwe na facilities za kutosha.

Na mara nyingi hizi za mikataba atoe na advance ya kuendesha shughuli za kiofis lah! Aajiri marketing manager waset hizo target kwa sales personnel
Mkuu wewe umepiga haya mambo nini...?
Mbona unatoa ufafanuzi yakinifu hivo aiseeeee 🙌 🙌
 
Back
Top Bottom