Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Health care industry napenda kufahamu ni upande wa surgical devices au medicine 💊 💉Marketing ni pana sana. Lazima mtaalam aweke mpango kazi mezani kulingana na definition iliyotumikana kampuni kwa wateja. Strategies zinatokan na potential clients na scope ya operation ya kampuni husika au kusoma market ya baishara nzima na kuwafaham competitors. Lakin pia marketing inakwenda na facilities..
Angesema tu Right Way In Light kampuni yake inahusika na nn, mm nina uzoef wa health care industry ninshushiepo CV