Nahitaji mtu yeyote au taasisi yoyote inayoweza nikopesha

concordile 101

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,379
Reaction score
6,624
wadau niko mozambique nina kiproject kimoja cha kiwanda cha unga ambacho nilikianzisha miaka yapata miwili hivi lakini mwaka jana kutokana na kubanwa na majukumu ya kifamilia mtu niliyemwachia mradi alinimaliza kabisa kimtaji, pia akaacha na maden juu. niliporud nilifanikiwa kulipa madeni yote na kubakiwa sina operating capital. hivo basi kushindwa kuendeleza. nimejaribu kuwa nachukua tenda za watu na kuwasagia lakin mambo hayajaweza niwia vizuri. nimejaribu tembelea mabenk ya huku lakini holaa kinachoponza kwq miez kadhaa sijawa na cashflow nzuri kibenk. nimejaribu kutumia dhaman niliyonayo huku ambayo ni eneo kiwanda ambalo linafikia kiwango cha eka moja na nusu kukiwa na godown na ofisi pia kwa mbele kuna fremu tatu za duka ambazo hazijapikwa lipu tu na rangi, lakini sikuweza fanikiwa. eneo la kiwanda kulingani na mdhamini wa ardhi lina dhaman ya usd 350000.
nahitaji mtu yeyote au taasisi yoyote ambayo naweza ingia nae mkataba wa kunikopesha wastan usd 100000 kwa riba ambayo mimi na yeye kwa muda miezi kadhaa au mwaka kabisa. mfano naweza ingia nae mkataba kila mwisho wa mwezi kumrejeshea wastan 11500 kwa mwezi kwa muda wa mwaka mmoja au kama atataka miaka miwili niwe namrejeshea kwa wastan usd 8000 ambayo ndani ya miaka yake miwili atakuwa na amekusanya jumla ya 192000 na kama inakuwa kwa mwaka wastan wa 138000
Dhamana yangu atachagua yeye kati
nyumba ambayo iliyoko dar haina hati ila ina offer
shamaba la wastan hekta 70 lipo msumbiji
au dhamana ya kiwanda ambacho kipo msumbiji
karibuni wadau ila ingependeza kama ntapata taasisi kabisa au mtu ambaye anaweza niconnect na watu wa mikopo maana kwa huku nimenyosha mikono namba yangu ni +25887605087 au watsap +255718500578
 
Upo mozambique sehemu gani?mozambique kubwa mkuu na ulikuwa unatoa unga kwa chapa ipi?
 
Iyo biashara ya unga Mozambique inalipa sana?
 
biashara ya unga inalipa sana kwa huku sema nilijichanganya kumuachia mtu anisimamie si unajua tena ndugu tena. ok mfano kuana kama products tatu yaan nazalisha unga wa kupack kwenye gunia za kilo 25,10, 5 na pia kuna unga tunapack kweny vipaket vya kilo moja moja. hiv ndo kwangu naona vinafaida sana sababu tunaviuza bei kali sana kwa vipaket vya kutosheleza kumi, jumla jumla mimi nauza 300mt na ndio nauza bei rahis kuliko wengine wote
 

kwa vile ss hv nipo mkoa wa Nampula mara moja ngoja nione cha kufanya ila kuhusu mtu binafsi kukukopesha naona utakuwa tabu kidogo Labda useme kuhusu kushare,vp kuhusu huu unga wa kg 1,vipaketi vya kufungia hadi Tz ama kuna kampuni inafanya huko Pemba?
 
vipaket mimi nachukulia tz mara ya mwisho mwaka juzi nilichukulia kwa azam ila nilipata tenda soo watu wakawa wamenipa mkwanja kabisa yeye anataka kuanzia pkt 1mil ambapo kila packet wanauza 90. soo option inabaki kuprint papers na kuja kukunja mwenye mara zote naprintia iprint na omar printers. kushare mara nyingi naogopa kwa sababu ya kuja kugombana baadae ila kukopa nkamrudishia twice of the money inabak the best option or kama at twice and half for a year inakuwa njema zaid.
 

kushare inapendeza kama wote mna lengo moja. mfano mimi lengo hasa ni expand business iwe kubwa ya kiwango cha juu so wakati mwingine ata aim profit tu expansion hatak, pia atataka awe na control equal kitu ambacho hakipendez hasa kama wewe ndo umeanzisha biashara. option nzuri ni kutoa capital halaf mnakubaliana percent fulan ya shares ya kampuni inakuwa yake, control na everything ibaki kwangu but yeye angukie kwenye profit au any another option inaweza ikawa kumpa ownership ya kuwa shares za preference shares ambapo yeye anakuwa hana voting right to the company let say day to day business isimuhusu lakini inapokuja kwenye payments analipwa profit yake au dividends kabla ya mwingine yoyote au kwa maana nyingine baada ya calculations za faida yeye apate first kabla yangu ila kwa rate ya ownership yake. kwanini nakataa direct sharing?
wengi wetu wafanya biashara tuko tofauti kimawazo anaweza kuchangia capital baada ya muda tu anataka apate faida hapohapo .pia kuna ile kukosa uhuru wa kuexpand biashara tokana na kuwa na mawazo tofauti tofauti. more njia nzuri ya kufanya kazi ni pale unapokuwa na pressure ya kulipa deni au kutimiza lengo hii itakufanya ufanye kazi kwa juhudi zote. pia nishajaribu mara kibao kuingia ubia na watu unakuta most of the time badala ya kufikiria biashara anafikiria kujineemesha kwanza. hata huyu alienirudisha nyuma nillingia nae mkataba wa kimanejiment tena akawa na almost ten percent ya ownership lakin wapi. napenda nipate mtu kweli ambaye yuko willingly and mostly kama atakubali kuwa preference shares au best of all a loan awe tz ama mozambique.
 

Any way kwa kifupi umeeleweka japokuwa wafanya biashara wengi tunataka kushare tu sababu nadhani hakuna mfanya biashara ambaye atakwambia ana capital ya kutosha kuendeshea biashara yake!hivyo basi kama ni mkopo benki hawawezi kukunyima kama kweli una vigezo vya kukopesheka kwani bila wao kukopesha hawawezi kupata faida!good Lucky
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…