concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,379
- 6,624
wadau niko mozambique nina kiproject kimoja cha kiwanda cha unga ambacho nilikianzisha miaka yapata miwili hivi lakini mwaka jana kutokana na kubanwa na majukumu ya kifamilia mtu niliyemwachia mradi alinimaliza kabisa kimtaji, pia akaacha na maden juu. niliporud nilifanikiwa kulipa madeni yote na kubakiwa sina operating capital. hivo basi kushindwa kuendeleza. nimejaribu kuwa nachukua tenda za watu na kuwasagia lakin mambo hayajaweza niwia vizuri. nimejaribu tembelea mabenk ya huku lakini holaa kinachoponza kwq miez kadhaa sijawa na cashflow nzuri kibenk. nimejaribu kutumia dhaman niliyonayo huku ambayo ni eneo kiwanda ambalo linafikia kiwango cha eka moja na nusu kukiwa na godown na ofisi pia kwa mbele kuna fremu tatu za duka ambazo hazijapikwa lipu tu na rangi, lakini sikuweza fanikiwa. eneo la kiwanda kulingani na mdhamini wa ardhi lina dhaman ya usd 350000.
nahitaji mtu yeyote au taasisi yoyote ambayo naweza ingia nae mkataba wa kunikopesha wastan usd 100000 kwa riba ambayo mimi na yeye kwa muda miezi kadhaa au mwaka kabisa. mfano naweza ingia nae mkataba kila mwisho wa mwezi kumrejeshea wastan 11500 kwa mwezi kwa muda wa mwaka mmoja au kama atataka miaka miwili niwe namrejeshea kwa wastan usd 8000 ambayo ndani ya miaka yake miwili atakuwa na amekusanya jumla ya 192000 na kama inakuwa kwa mwaka wastan wa 138000
Dhamana yangu atachagua yeye kati
nyumba ambayo iliyoko dar haina hati ila ina offer
shamaba la wastan hekta 70 lipo msumbiji
au dhamana ya kiwanda ambacho kipo msumbiji
karibuni wadau ila ingependeza kama ntapata taasisi kabisa au mtu ambaye anaweza niconnect na watu wa mikopo maana kwa huku nimenyosha mikono namba yangu ni +25887605087 au watsap +255718500578