Nahitaji mume 33-40 age

Nahitaji mume 33-40 age

napungukiwa na miaka 2 unaweza kuvulimia kidogo please?? hii naona kama bahati inanitoaka mkononi!
 
C.v muhimu za mume umtakae nyingi sizioni ! Ok not big issue, Nina bro wangu Daktari Bugando alipata acxident wakiwa na mkewe , mke akafariki yeye akasalimika. Ana watoto wawili ambao wote boarding sch, yeye si membar Jf bt nimemuonesha thread yako ameonesha aim. Yuko tayari na masharti ulioyaainisha, umri wake miaka 60 wasemaje nikuunganishe nae ?
 
amekwambia 33 mpaka 40.
 
Poa dada maelezo yako yanavutia... nitafute niko serious pia.:tongue:
 
Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya Advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa Dar es salaam. Samahani najua wengi mtaniponda nakadhalika lakini mimi niko serious kabisa nimeshachoka maisha ya upweke na ubusy wa kazi kiasi kwamba hata muda wa kukutana na watu nakosa. Sitakasirika kwa wale watakaoniponda ila kwa wale walioko serious ni tumie message kwenye profile yangu then tutaendelea kuwasiliana. Naomba tafadhali uelewe niko serious sana kuhusu hili swala na siyo kwamba nina tabia mbaya au labda muhuni au mi mwenyewe sina mvuto hapana, nadhani kwa kadri tutakavyozidi kufahamiana utanifahamu na kunielewa vizuri. Niko nasubiri Private message (PM) kwa wale tu walioko serious karibuni.

Mimi niko serious zaidi yako na ndio maaana nimegundua kuwa umeshaolewa tayari. Kwa nini unataka mume mwingine? Huoni kuwa utaleta ugomvi na mavurugano kila siku?
 
Mimi bado miaka mitatu tu kufikia kugezo cha umri. Kama utanivumilia basi niko tayari
 
Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya Advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa Dar es salaam. Samahani najua wengi mtaniponda nakadhalika lakini mimi niko serious kabisa nimeshachoka maisha ya upweke na ubusy wa kazi kiasi kwamba hata muda wa kukutana na watu nakosa. Sitakasirika kwa wale watakaoniponda ila kwa wale walioko serious ni tumie message kwenye profile yangu then tutaendelea kuwasiliana. Naomba tafadhali uelewe niko serious sana kuhusu hili swala na siyo kwamba nina tabia mbaya au labda muhuni au mi mwenyewe sina mvuto hapana, nadhani kwa kadri tutakavyozidi kufahamiana utanifahamu na kunielewa vizuri. Niko nasubiri Private message (PM) kwa wale tu walioko serious karibuni.
ila umenifurahisha lol................naona ma maryoooooooooooo kwako hawana nafas lol, una 32 afu unahitaj 33 n above
good. kila la kher mwaego.
 
Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya Advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa Dar es salaam. Samahani najua wengi mtaniponda nakadhalika lakini mimi niko serious kabisa nimeshachoka maisha ya upweke na ubusy wa kazi kiasi kwamba hata muda wa kukutana na watu nakosa. Sitakasirika kwa wale watakaoniponda ila kwa wale walioko serious ni tumie message kwenye profile yangu then tutaendelea kuwasiliana. Naomba tafadhali uelewe niko serious sana kuhusu hili swala na siyo kwamba nina tabia mbaya au labda muhuni au mi mwenyewe sina mvuto hapana, nadhani kwa kadri tutakavyozidi kufahamiana utanifahamu na kunielewa vizuri. Niko nasubiri Private message (PM) kwa wale tu walioko serious karibuni.

bi dada kama upo BIKRA my 4n namber 0715800800 u jast call m
 
Mie niko interested ila nataka mama mwenye full degree tena toka vyuo vya nje vinayotambulika. Hivyo, hata kama ninakufaa, hunifai mimi. Je waweza kujitahidi kusoma lau after year ukanipigia ili tukong'oli vilivyo? The upshot is that mapenzi hayana vigezo. Hata kama mtu hana hiyo form six anaweza kuwa mume mzuri kuliko kuweka masharti yasiyoingia kichwani. Mapenzi hayana shule.
 
Pole Dada! Tatizo Umri huo mume anayehitajika atakua ENGAGED! Upo tayari kua NYUMBA NDOGO?

Picha ni muhimu, na pia usikute ndo retired staff wakazi za 9t kali, saivi umeamua settle! na umri nao waogopesha! toka una umri 24 ulikua hautongozwi? ? ?
 
Nipo tayari, umri wangu 37yrs, Tatizo kwangu mie Nafanya kazi Mtwara ww upo Dar. Sio neno Tutaamua nani amfuate mwenzake. Kabila langu Myao, Dini CHRISTIAN, elimu kidato cha sita, & Adv. Diploma. Wazazi wangu wamenipa baraka nioe makabila yote isipokuwa mchaga tu hawamtaki (sijui kwanini). Nami nakaribia kuwa nawe jack mushi... Ngoja nichukue maamuzi magumu ya kiume- wasiliana nami dear, sitanii.
 
Back
Top Bottom