Nashkuru kwanza kwa kuwa muazi kuamua kuongea kile ambacho kiko moyoni mwako ktk kutafuta maisha vipingamizi ni lazima ndo ufanikiwe ndani ya jf kila mtu ana mtazamo tofauti na mwenzake usijali kama watakuponda au kutumia lugha mbaya hii ndio jamii ya kitanzania nimeamua kuja kufahamia na ww na kuanzisha uhusiano mwema ktk kila hali