Nahitaji mume aliye serious na maisha

Nahitaji mume aliye serious na maisha

Hello habari Mimi ni mdada nahitaji mume aliye serious namaisha sina mtoto, sifa awe mkiristo ila awe Kanda yaziwa mengine tutaelezana PM karibuni.

Asante sana na Mungu awabariki [emoji120][emoji120]
Waume serious hawapatikani jf dadangu. Utaishia kuumizwa tu!
 
Aisee, kweli asiye na bahati habahatiki... Yani nina bahati mbaya kama aliyelala na bundi eti ndipo ninaona thread hii mida hii.... Kwa mwendo huu nitakuwa pamoja la Le Mutuz katika jahazi la ma senior bachelors.
 
Huyu ataki mme...tumewasiliana lakn naona mama amepuuza tu sijui kwann
Hahahahaaaaaa haya bwana umejickia kuongea nawewe,kila Basi linabeba abiria kwasafari liendayo sio Basi lambeya libebe abiria wa kigoma wakati sio njia yake kama nimekukwaza nisamehe bure Kaka kila binadam anamapungufu yake yawezekana nimekukera sorry for that my friend [emoji122]
 
Muwe mnaweka na picha

Kuuziana mbuzi kwenye gunia hapana
 
Aisee, kweli asiye na bahati habahatiki... Yani nina bahati mbaya kama aliyelala na bundi eti ndipo ninaona thread hii mida hii.... Kwa mwendo huu nitakuwa pamoja la Le Mutuz katika jahazi la ma senior bachelors.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom