mrs fiance
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 352
- 163
- Thread starter
-
- #21
NashukuruHivi Kuna mweny 35 hadi 40 bado yuko single? Labda awe mgane
Ungekuwa huna cha kusema Hapa ungepita tumwanaume kwa mwanamke anataka tendo la ndoa. sasa ww hutaki kuliwa veepee? Toa mambo hayo atakayenogewa atawowa au hujiamini?
kwanza mwanamke wa kweli hatafuti mume mtandaoni ina maana huko mtaani hutongozwi? afu siku hizi lazima ujaze mimba kwanza afu ndoa ndio inafuatia...kilimo kwanza mwenzangu unabania shamba hilohujalazimishwa. Samahani lakini .
safi sana shikia hapo hapo bora usex na mtu baki sio mchumbaNilishakuwa kwenye mahusiano. Na ndo mana nikaweka hivyo sihitaji sex kabla ya ndoa. Atakae kuwa tayari atakubaliana Nami
kwani mtandaoni kuna majini?kwanza mwanamke wa kweli hatafuti mume mtandaoni ina maana huko mtaani hutongozwi? afu siku hizi lazima ujaze mimba kwanza afu ndoa ndio inafuatia...kilimo kwanza mwenzangu unabania shamba hilo
Asantesafi sana shikia hapo hapo bora usex na mtu baki sio mchumba
SiwahitajiToa nafasi kwa Ander 30
Hata hao waliokula alidhani waoaji ndio maana aliwapaYani wengine umewapa wamekula weee hawajaoa halaf ambae anataka kuoa ndio anaambiwa asubiri....hehehehehe
Miaka 28 jua limekaribia magharibi....ww unayo kazi halali?!
Kujalazimishwa. Kwani nimekuambia nakutaka weweUna masharti kumbe ushaliwa je brand new c watatunyanyasa
Wanajifanya miungi mtu hao.kwani mtandaoni kuna majini?
Kwani si nimeamua mwenyewe. Kwani wa mtaani sijawaona... Acha kiherehere.kama huna cha kusema pita tukwanza mwanamke wa kweli hatafuti mume mtandaoni ina maana huko mtaani hutongozwi? afu siku hizi lazima ujaze mimba kwanza afu ndoa ndio inafuatia...kilimo kwanza mwenzangu unabania shamba hilo
majini yapo sasa mfano mm hapa ninaamua kumdanganya dada wa watu ambaye hajui chochote kuhusu mimi, ninaanzaje kumpenda?atajuaje simdanganyi?mitandao inarahisha ila siyo kila kitu aiseekwani mtandaoni kuna majini?
UsilolijuaHata hao waliokula alidhani waoaji ndio maana aliwapa
majini yapo sasa mfano mm hapa ninaamua kumdanganya dada wa watu ambaye hajui chochote kuhusu mimi, ninaanzaje kumpenda?atajuaje simdanganyi?mitandao inarahisha ila siyo kila kitu aiseekwani mtandaoni kuna majini?