Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

Kuwa na akili wewe, huyu dada hajasema ana shida ila anatafuta mtu wa kuishi nae katika ndoa, wapi ametangaza shida hapo?
We ndo akili huna! Kwani mpaka aje kutaka mwanaume wakumwoa huku jf sio shida hiyo? Tena atakua ana shida nyingi sana kiasi mpaka huko anapoishi akose wakumwoa lazima ana matatizo anaficha..
 
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa.
Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha. Nami ntakuwa tayari kuwa nae kwenye shida na raha. Awe anafanya kazi halali ya kumuingizia kipato cha kuitunza familia yake..
Awe na umri kuanzia miaka 35 _40. Na awe tayari kwenda kucheki afya kabla ya yote.
Na pia sihitaji kujihusisha katika mapenzi mpaka ndoa.

Naamini kutakuwa na mwanaume mwenye hitaji la kweli Kama langu. Tuwe wakweli ..Sichagui dini.. Asanteni..
Vipi miaka 45 nitafaa?
 
Dah wanawake wanaotafuta waume siku wameongezeka Sanaa sijui tatizo nini? Je wanaume wenzangu kwanini hatuwatongozi hawa eeeh? ??
 
Utaowaje dunia ya sasa kizembe bila ya kupima papuchi, tabia ya mwanamke, maana ushundwi ku act kwa muda mpaka ndoa ifungwe maana wew unaonekana umedharia hilo kwako ni jambo ndogo kuficha makucha, arafu unasema uchagui dini ina maana wew umechoka kukaa peke yako unataka yeyote yule ili mradi awe mume hilo swala ni gumu kwakuwa kila mtu anakhofia nafsi yake kutokana ujasiri uliokuwa nao...."ni mtazamo tuu"...ila unaweza ukapata (wait & see)
 
wa kuoa utakuwa wewe? bora anaeuziwa mbuzi maana wewe sijui ni kiumbe gani ngedere ana nafuu
daah nimekufanya nn unipe kashfa hizi?huna tofauti na mose iyobo kumuita mwenzake nyani.

unadhan siwezi kuoa?@miss natafuta umenivunjia heshima
 
Mtafuta mume mrs fiance nahisi anajuuuta kufungua huu uzi. Watu mmeugeuza chitchat. Jamani mpeni nafasi watu siriaz waje.

Msimpandishe hasira hata wale potential watakimbia. Chondechonde wakuu.

Masharti aloweka wala si magumu. Wapo wengi wa kuyatimiza. Kama huwezi muombee tu Mungu afanikishe hitaji la moyo wake. Tusimdhihaki wala kumkejeli tena jamani. Asanteni.

Asprin, gwijimimi, instagram, chaliifrancisco, Escobar, Dar half life, HM DICTIONARY, Castr, mbongo_halisi, mbu dume, bullar, mshipa, Brightfame, mashoodjr, Nokia83, Behaviourist, Mwananchi, 13 mega pixel, ozil 10, Milale, ngudengude, MWANDENDEULE
 
Unahitaji mwanaume ambae anafanya kazi.....wewe unafanya kazi gani? Na kwa nini hutaki kujihusisha kwenye mapenzi hadi ndoa?

Bila kuonjwa kwanza mama, mmmmh utatafuta sana. Watu hadi waonje waone kama kitu inaubora.
 
Afu kwa povu hilo anategemea vijana waoe. Vijana hawapendi kuoa mimama aina ya "Lucy Kibaki"
Heheheh dah usawa huu unaia Lucy kibaki duuu si bora kubaki thingo aisee ule wadada wabichiiii kama embe la kula na chumvi
 
Mtafuta mume mrs fiance nahisi anajuuuta kufungua huu uzi. Watu mmeugeuza chitchat. Jamani mpeni nafasi watu siriaz waje.

Msimpandishe hasira hata wale potential watakimbia. Chondechonde wakuu.

Masharti aloweka wala si magumu. Wapo wengi wa kuyatimiza. Kama huwezi muombee tu Mungu afanikishe hitaji la moyo wake. Tusimdhihaki wala kumkejeli tena jamani. Asanteni.

Asprin, gwijimimi, instagram, chaliifrancisco, Escobar, Dar half life, HM DICTIONARY, Castr, mbongo_halisi, mbu dume, bullar, mshipa, Brightfame, mashoodjr, Nokia83, Behaviourist, Mwananchi, 13 mega pixel, ozil 10, Milale, ngudengude, MWANDENDEULE
mimi sijamdhihaki mkuu ila icho kipengele cha kunyimana mpaka ndoa naona siyo sahihi, akifute
 
Si unaona anajiita miss natafuta? Inaelekea kashatafuta sana na kusindikiza sana
Hawa si ndo wale wanajifanyaga wazuri wanasema "checklist" kibao kama wanaume wanawaumba wao yaan
Namtaka mwanaume tajiri(utadhan alimsaidia kutafuta)
Namtaka mwanaume handsome(utadhan uhandsome ndo.unampa mimba)
Nataka mwanaume asiyekunywa na asiyenicheat manina
Acha aisome namba kwanza 28 tu anapagawa ngoja afike 35+ atachange tu criteria manina
 
We ndo akili huna! Kwani mpaka aje kutaka mwanaume wakumwoa huku jf sio shida hiyo? Tena atakua ana shida nyingi sana kiasi mpaka huko anapoishi akose wakumwoa lazima ana matatizo anaficha..
Achana nae mkuu,ulimbukeni unamsumbua aisee
 
Mtafuta mume mrs fiance nahisi anajuuuta kufungua huu uzi. Watu mmeugeuza chitchat. Jamani mpeni nafasi watu siriaz waje.

Msimpandishe hasira hata wale potential watakimbia. Chondechonde wakuu.

Masharti aloweka wala si magumu. Wapo wengi wa kuyatimiza. Kama huwezi muombee tu Mungu afanikishe hitaji la moyo wake. Tusimdhihaki wala kumkejeli tena jamani. Asanteni.

Asprin, gwijimimi, instagram, chaliifrancisco, Escobar, Dar half life, HM DICTIONARY, Castr, mbongo_halisi, mbu dume, bullar, mshipa, Brightfame, mashoodjr, Nokia83, Behaviourist, Mwananchi, 13 mega pixel, ozil 10, Milale, ngudengude, MWANDENDEULE
Hehehehe mkuu usinichukulie vibaya was just trying to show her why hayuko serious besides ukipitia majibu yake tu utaona altitude inavyomsumbua
Blv me.huwe kua na shida then ulete masharti hakunaga hyk mambo aiseee labda sio ya dunia hii
so anyway mi namuwish kila la Kheri much luv kwake na maigizo yake
 
Afu kwa povu hilo anategemea vijana waoe. Vijana hawapendi kuoa mimama aina ya "Lucy Kibaki"
we mzee lala usitafutie watu murder case! ukipewa papuchi wewe si case tu? ukiona tu unazimia kwichikwichi si matanga kabisa
usitake kukimbia na huna breki!!!!!!
 
Nimependa sana kwa kuwa unajitahidi kujibu hoja. Nakushauri useme neno kuhusu dini Kwani ni jambo la msingi sana katika ndoa. Nakuombea ufanikiwe.
 
Back
Top Bottom