Nahitaji mume hata nikiwa mke wa pili sawa tu

kaw

New Member
Joined
Nov 26, 2021
Posts
1
Reaction score
16
Nawasalimu
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kama dini yako inaruhusu kuoa mke zaid ya mmoja basi karibu au kama hujaoa kabisa pia karibu[emoji847]
Sifa zangu
29yrs
Muislam
Maji ya kunde
Sijawah kuolewa
Sina mtoto

Nimtakae
Kuanzia 30yrs hadi 40
Rangi yoyote
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Mcheshi
Mpenda watu/asiwe mchoyo mchoyo[emoji848]
Awe ROMANTIC haswaaaaa[emoji849]
Muislam

Karibuni[emoji4]
 
[emoji3516]
"ME" IN "KE's ID".
 
Mi ni mcheshi ila sija bahatika kuajiriwa wala kujiajiri lakini ni mtu mwenye mawazo chanya

Nina wazo hapa

Nafikiria kwasababu wewe mwenzangu umejaaliwa kuwa na ajira unaonaje kupitia hiyo ajira yako ukanifungulia mimi biashara kupitia mshahara wako automatic wote hapo tutakua tumeajiriwa?

Fikiria hilo wazo kwanza
 

Kwa mpalange unaenda???????
 

[emoji41]
 
Vipi kuwa mke wa nne bibie

Vigezo vyote ninavyo[emoji41]
 
Reactions: kaw
wenye 50 hatukubaliki kama ndo kigezo pekee nimekosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…