KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Umewahi kutoa mimba? kufanya matusi je?Nawasalimu
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kama dini yako inaruhusu kuoa mke zaid ya mmoja basi karibu au kama hujaoa kabisa pia karibu[emoji847]
Sifa zangu
29yrs
Nimeajiriwa
Muislam
Maji ya kunde
Sijawah kuolewa
Sina mtoto
Nimtakae
Kuanzia 30yrs hadi 40
Rangi yoyote
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Mcheshi
Mpenda watu/asiwe mchoyo mchoyo[emoji848]
Awe ROMANTIC haswaaaaa[emoji849]
Muislam
Karibuni[emoji4]