KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Umewahi kutoa mimba? kufanya matusi je?Nawasalimu
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kama dini yako inaruhusu kuoa mke zaid ya mmoja basi karibu au kama hujaoa kabisa pia karibu[emoji847]
Sifa zangu
29yrs
Nimeajiriwa
Muislam
Maji ya kunde
Sijawah kuolewa
Sina mtoto
Nimtakae
Kuanzia 30yrs hadi 40
Rangi yoyote
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Mcheshi
Mpenda watu/asiwe mchoyo mchoyo[emoji848]
Awe ROMANTIC haswaaaaa[emoji849]
Muislam
Karibuni[emoji4]
Hapo penye dini umenibaguaNawasalimu

Mambo ya Multiple IDs[emoji848]Kama unajiweza kiuchumi welcome inbox
KeWewe ni ke?
Walaaa sivyoMambo ya Multiple IDs[emoji848]
Mbona nnMbona[emoji55][emoji55]
ExactlyWewe ni ke?
All the bestMwenyewe nahitaji mke ila awe muarabu hata kama mjane ila asiwe ameachika labda mumewe wa kabla kama ana kisukari.
Oky mkuu.
Nimeipenda hii— ila umesahau kipengele cha ucha mungu, kila la kheri. Kama mcha mungu tuwasilianeNawasalimu
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kama dini yako inaruhusu kuoa mke zaid ya mmoja basi karibu au kama hujaoa kabisa pia karibu[emoji847]
Sifa zangu
29yrs
Nimeajiriwa
Muislam
Maji ya kunde
Sijawah kuolewa
Sina mtoto
Nimtakae
Kuanzia 30yrs hadi 40
Rangi yoyote
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Mcheshi
Mpenda watu/asiwe mchoyo mchoyo[emoji848]
Awe ROMANTIC haswaaaaa[emoji849]
Muislam
Karibuni[emoji4]
Walau bahati hii isinipite na ww isikupite. Njoo inboxNawasalimu
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kama dini yako inaruhusu kuoa mke zaid ya mmoja basi karibu au kama hujaoa kabisa pia karibu[emoji847]
Sifa zangu
29yrs
Nimeajiriwa
Muislam
Maji ya kunde
Sijawah kuolewa
Sina mtoto
Nimtakae
Kuanzia 30yrs hadi 40
Rangi yoyote
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Mcheshi
Mpenda watu/asiwe mchoyo mchoyo[emoji848]
Awe ROMANTIC haswaaaaa[emoji849]
Muislam
Karibuni[emoji4]
Nicheck.mussaomary5034@gmail.comNawasalimu
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kama dini yako inaruhusu kuoa mke zaid ya mmoja basi karibu au kama hujaoa kabisa pia karibu[emoji847]
Sifa zangu
29yrs
Nimeajiriwa
Muislam
Maji ya kunde
Sijawah kuolewa
Sina mtoto
Nimtakae
Kuanzia 30yrs hadi 40
Rangi yoyote
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Mcheshi
Mpenda watu/asiwe mchoyo mchoyo[emoji848]
Awe ROMANTIC haswaaaaa[emoji849]
Muislam
Karibuni[emoji4]
[emoji23][emoji23]Mi ni mcheshi ila sija bahatika kuajiriwa wala kujiajiri lakini ni mtu mwenye mawazo chanya
Nina wazo hapa
Nafikiria kwasababu wewe mwenzangu umejaaliwa kuwa na ajira unaonaje kupitia hiyo ajira yako ukanifungulia mimi biashara kupitia mshahara wako automatic wote hapo tutakua tumeajiriwa?
Fikiria hilo wazo kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23]bora yako hujifichiKama unajiweza kiuchumi welcome inbox