kigezo sasa ni kg na ft watu hawataki makosa madogomadogo sioAu ungesema unene kilo ngapi na ufupi wako futi ngapi?
Huyu ana kaumasai ndani yake"aliyeseriouz" ndio wapi uko?
wewe ni mmeru?
Kambi ya FisiMi mwanamke wa miaka 28 mweusi, mfupi, mnene kiasi
Nipo Arusha nafanya kazi office binafsi.
Nahitaji Mume Mkristo aliyeseriouz miaka kwanzia 30-34 awe mrefu, mweupe au maji ya kunde, awe na shughuli yoyote ya kuingiza Kipato na awe hana mtoto au mmoja c n mbaya.
Vyema Zaid kama atakuwa Arusha au mkoa jiran. Aliye tayar ani email... elikanabahati394@gmail.com
Mfupi, mnene, mweusiTuma picha yako tuone huo ufupi ulionao😊