Nahitaji mume kutoka Arusha au mikoa ya jirani

Nahitaji mume kutoka Arusha au mikoa ya jirani

Nenda ukumbi wa Safina dada kule utapata aja ya moyo wako..
 
Mume mwema hutoka kwa Mungu na sio jf wala mitandaoni. Sisi enzi zetu ukitaka kuoa we nenda kanisani mara kwa mara. Wallah utaona chaguo la moyo wako.
Hata Bar,club,sokoni,vijiwe by kitimoto,hoteli, machinjioni, kote huko wake Wema wapo!
 
Mi mwanamke wa miaka 28 mweusi, mfupi, mnene kiasi

Nipo Arusha nafanya kazi office binafsi.

Nahitaji Mume Mkristo aliyeseriouz miaka kwanzia 30-34 awe mrefu, mweupe au maji ya kunde, awe na shughuli yoyote ya kuingiza Kipato na awe hana mtoto au mmoja c n mbaya.

Vyema Zaid kama atakuwa Arusha au mkoa jiran. Aliye tayar ani email... elikanabahati394@gmail.com
NB; hapo kwenye ufupi my dear umechapia. Wewe siyo mfupi! Maana kila mtu hapa duniani ana mnyonge wake. Wewe unajiona mfupi, ni kwa sababu umezungukwa tu na watu waliokuzidi kimo.

Na kama huamini, basi jilinganishe na wale mbilikimo wanaopatikana misitu ya Congo, halafu uond ulivyo mrefu kwao!!
 
Back
Top Bottom