Nahitaji mume kutoka Arusha au mikoa ya jirani

Nenda ukumbi wa Safina dada kule utapata aja ya moyo wako..
 
Mume mwema hutoka kwa Mungu na sio jf wala mitandaoni. Sisi enzi zetu ukitaka kuoa we nenda kanisani mara kwa mara. Wallah utaona chaguo la moyo wako.
Hata Bar,club,sokoni,vijiwe by kitimoto,hoteli, machinjioni, kote huko wake Wema wapo!
 
NB; hapo kwenye ufupi my dear umechapia. Wewe siyo mfupi! Maana kila mtu hapa duniani ana mnyonge wake. Wewe unajiona mfupi, ni kwa sababu umezungukwa tu na watu waliokuzidi kimo.

Na kama huamini, basi jilinganishe na wale mbilikimo wanaopatikana misitu ya Congo, halafu uond ulivyo mrefu kwao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…