Nahitaji mume, miaka 39-50

Nahitaji mume, miaka 39-50

Muhenga mwenzangu bora ulehe mwanao tu au tafuta hata boda shika mimba kama itashika lakini Mana kwa umri huo ni mtihani ndoa nyingi zinakosa amani kisa kupata mtoto wa pili,
Ukishindwa akukojoze tu mbali ukiwa kwako una enjoy ila Kama unataka ndoa unatafuta stress tu!
Ndoa nyingi sasa ni 22 -30 ukivuka hapo kuwa msela tu ila Kama unahela unaweza ukaoa mwenyewe!
 
Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.

MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI. KARIBU PM
[/QUOT
PM tutaelekezana vizuri. Hutajutia.
 
Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.

MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI. KARIBU PM
Aliyeachika vipi
 
Tabia ya mtu inadhihirika sana kirahisi, Hivi mtu mzima mwenye mtoto unatumia lugha pita pembeni, unashindwaje tumia lugha rahisi tu kama, “ukiwa mme wa mtu na mwenye umri chini ya miaka 39, sina uitaji kwa hiyo usini PM!

Kweli mtu akioa mtu kimeo haraka mwenyewe! Kuna sababu kwa nini umekosa mme kote na sasa unatinga jamii forum na lugha za hovyo tena!

Anyways , all the best!
 
Hapo kwenye mume wa mtu pembeni ndo umechemsha. Unasahau kama Waislamu wanaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya moja. Pia sisi wafugaji tunaoa hadi idadi tunayotaka. Hata Saniniu Laizer anao wanne. Ukitupa hiyo fursa ya kuongeza mke utapata hifadhi ya kweli maana ntayari na wewe ulishakuwaga mke wa mtu hadi mkazaa.
 
Kwani mwenye miaka 50 hawezi kuoa bint wa miaka 20 hadi aparamie miti mikavu
 
Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.

MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI. KARIBU PM

Jamani mie nina 36
 
Hakuna mke hapa.wewe ni wale wanawake wa mjini mnaozalishwa na kuachwa kutokana na tabia zenu.wewe huna hadhi ya kua na mwanaume mwenye hofu ya mungu kama ulivyoandika, mwanaume wa type yako ni akina sisi mabaharia ndio tutakwenda sawa.waache wanaume wenye hofu ya mungu wapate wake wenye hofu ya mungu.
 
Tabia ya mtu inadhihirika sana kirahisi, Hivi mtu mzima mwenye mtoto unatumia lugha pita pembeni, unashindwaje tumia lugha rahisi tu kama, “ukiwa mme wa mtu na mwenye umri chini ya miaka 39, sina uitaji kwa hiyo usini PM!

Kweli mtu akioa mtu kimeo haraka mwenyewe! Kuna sababu kwa nini umekosa mme kote na sasa unatinga jamii forum na lugha za hovyo tena!

Anyways , all the best!
Kwa lugha hii labda fesibuku kule atapata mume
 
Hapo kwenye mume wa mtu pembeni ndo umechemsha. Unasahau kama Waislamu wanaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya moja. Pia sisi wafugaji tunaoa hadi idadi tunayotaka. Hata Saniniu Laizer anao wanne. Ukitupa hiyo fursa ya kuongeza mke utapata hifadhi ya kweli maana ntayari na wewe ulishakuwaga mke wa mtu hadi mkazaa.
Unapishana na Mafao fala sana huyu
 
Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.

MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI. KARIBU PM
Mimi nina 31, 39 itatukuta tukiwa kwenye ndoa. Plz I wanna mary you my loveeeee
 
Mme wa mtu pita pembeni......ulitaka mme wa mbuzi beberu, au mme wa kuku jogoo.......wacha ubaguzi......wahuni watajitosa, ila huyo MTOTO,,,kikwazo kwao.........mme wa mtu hajali una mtoto au mjukuu....ndio wameishika nchi......
 
Back
Top Bottom