Nahitaji mume, miaka 39-50

Kwa mwandiko huu endelea kugawa bure mpaka uzeeke tu huwezi pata mme!
 
Mwanamke mwenyewe kisilani hivi mtawezana kweli

Naona kama tayari imeshaanza kuingia menopause
 
Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.

MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI. KARIBU PM
Twahitaji picha zako, tutajie pia tabia zako, una watoto wangapi na umeachika mara ngapi na kwanini?
 
Hahahahaaa,sijui niseme una roho mbaya au una roho nzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…