Nahitaji mume Muislam aliye-serious na ndoa

Naona vijana wamepanic hapo kwenye maisha standard hahahaha tutafute hela jamani hata wewe dada yako hutopenda aolewe na mganga njaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inshaallah kama hutojali nipm mana sijui ku pm
 
Walyk salam.
Unyenyekevu wa kiumbe anaujua mungu. Maana mwenyewe amesema "Msijikweze nafsi zenu, yeye ndie anae mjua mchamungu"
Tupo ila hatujajua kama tumefikia sifa ya unyenyekevu
 
Naona vijana wamepanic hapo kwenye maisha standard hahahaha tutafute hela jamani hata wewe dada yako hutopenda aolewe na mganga njaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona wamejaa upepo
 
Aslm aleykum vipo ulipata mume?
 
Mwaka 2020 ulikuwa una umri miaka 30
Sasa ni 2022 una umri wa 30+2=32
Ni mwezi wa 7 sasa.
Kama haujaolewa, tafuta mtoto. Shida ya wanawake wengi wanatafuta Mfanyakazi mwenzake au mfanyabiashara kuliko kutafuta mume. Shida ndiyo inaanzia hapo
 
Fafanua vizuri basi, umesema hujawahi olewa, huna mtoto pia me nataka kufahamu kama bikira bado ipo...? Na kama BK ipo basi ntaamini nawe una hofu ya mungu.

Wabillah Taufiq..

Akijibu hili swali njoo unipige makofi niko maskani hapa namwagilia moyo leo wikendi[emoji23][emoji23]
 
We Muislamu wa wapi? Hutaki Thawabu za Ukewenza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…