mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Anamaanisha mwanume muhangaikaji,,marioo hawana nafasi kwakeUnamtaka mtu mwenye maisha yake standard aliyeajiriwa au amejiajiri.wewe ni msaka tonge tu hauna haja Ya ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamaanisha mwanume muhangaikaji,,marioo hawana nafasi kwakeUnamtaka mtu mwenye maisha yake standard aliyeajiriwa au amejiajiri.wewe ni msaka tonge tu hauna haja Ya ndoa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona vijana wamepanic hapo kwenye maisha standard hahahaha tutafute hela jamani hata wewe dada yako hutopenda aolewe na mganga njaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anamaanisha mwanume muhangaikaji,,marioo hawana nafasi kwake
😂😂😂Weka picha mkuu,,,,isije ikawa wewe ndiyo huna vigezo
Hahaaa hili nalo nenoWeka picha mkuu,,,,isije ikawa wewe ndiyo huna vigezo
Inshaallah kama hutojali nipm mana sijui ku pmAssalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Mimi ni Mwanamke Muumini wa Dini ya Kiislam (ISLAM-UNYEYEKEVU-MUISLAM) ni muajiriwa umri wangu miaka 30, sijawahi kuolewa na sina mtoto.
Nahitaji Mume MUISLAM umri wake kuanzia 33-50. Awe na hofu ya ALLAH SUBHAANA WATAALLAH, Awe Ameajiriwa au Amejiajiri mwenye maisha yake Standard. Asiwe Mume wa Mtu.
Awe hajaoa bado, Alie serious tu juu ya NDOA anicheki kwa Private Message ( PM ).
Wabillah Tawfiq.
Shukran.
Haha, hataki mume uyoUnamtaka mtu mwenye maisha yake standard aliyeajiriwa au amejiajiri.wewe ni msaka tonge tu hauna haja Ya ndoa.
Walyk salam.Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Mimi ni Mwanamke Muumini wa Dini ya Kiislam (ISLAM-UNYEYEKEVU-MUISLAM) ni muajiriwa umri wangu miaka 30, sijawahi kuolewa na sina mtoto.
Nahitaji Mume MUISLAM umri wake kuanzia 33-50. Awe na hofu ya ALLAH SUBHAANA WATAALLAH, Awe Ameajiriwa au Amejiajiri mwenye maisha yake Standard. Asiwe Mume wa Mtu.
Awe hajaoa bado, Alie serious tu juu ya NDOA anicheki kwa Private Message ( PM ).
Wabillah Tawfiq.
Shukran.
Ni Wagagagigikoko si WagagagikokoWagagagikoko
Sawa kabisa.Jamani musiwe mnaandika na kupost kejeli, mtu anatafuta Mwenza wa maisha nyinyi mnamkejeli hiyo sio fair kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona wamejaa upepoNaona vijana wamepanic hapo kwenye maisha standard hahahaha tutafute hela jamani hata wewe dada yako hutopenda aolewe na mganga njaa.
Aslm aleykum vipo ulipata mume?Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Mimi ni Mwanamke Muumini wa Dini ya Kiislam (ISLAM-UNYEYEKEVU-MUISLAM) ni muajiriwa umri wangu miaka 30, sijawahi kuolewa na sina mtoto.
Nahitaji Mume MUISLAM umri wake kuanzia 33-50. Awe na hofu ya ALLAH SUBHAANA WATAALLAH, Awe Ameajiriwa au Amejiajiri mwenye maisha yake Standard. Asiwe Mume wa Mtu.
Awe hajaoa bado, Alie serious tu juu ya NDOA anicheki kwa Private Message ( PM ).
Wabillah Tawfiq.
Shukran.
Fafanua vizuri basi, umesema hujawahi olewa, huna mtoto pia me nataka kufahamu kama bikira bado ipo...? Na kama BK ipo basi ntaamini nawe una hofu ya mungu.
Wabillah Taufiq..