Nahitaji mume Muislam aliye-serious na ndoa

Nahitaji mume Muislam aliye-serious na ndoa

Almanac

New Member
Joined
Jun 18, 2020
Posts
2
Reaction score
14
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.

Mimi ni Mwanamke Muumini wa Dini ya Kiislam (ISLAM-UNYEYEKEVU-MUISLAM) ni muajiriwa umri wangu miaka 30, sijawahi kuolewa na sina mtoto.

Nahitaji Mume MUISLAM umri wake kuanzia 33-50. Awe na hofu ya ALLAH SUBHAANA WATAALLAH, Awe Ameajiriwa au Amejiajiri mwenye maisha yake Standard. Asiwe Mume wa Mtu.

Awe hajaoa bado, Alie serious tu juu ya NDOA anicheki kwa Private Message ( PM ).

Wabillah Tawfiq.

Shukran.
 
Waislam ndoa wake 4 wewe unasema asiwe na mke umevunja uislamu.
Ukitaka mme mmoja nenda kwa wakristo.

Amejiajiri anaweza akawa elimu ni dalasa la saba au hajasoma kabisa je utamkubali?

Maisha standard ni suala pana
Awe na nyumba au amepanga nyumba ya aina gani.

Bank awe na kiasi gani kuaksi standard uitakayo.
Awe na gari au laa?
 
Back
Top Bottom