Nahitaji mume mwema jamani

naongeza sample space ili probability iwe kubwa ktk kumvuta anayenifaa

Hiyo set yako ni disjoint no matter how large the sample space the items for picking are unique; if the magnet has the requisite strength the husband gets picked
 
maana yake ni mtu mwenye wepesi ktk kupiga
Right, mimi sio mwepesi katika kupiga, napiga kwa utaratibu.

Manake mwishowe wote tutachoka mana itakuwa imebaki ni kupiga tuuu kila siku hakuna jipya, hapana, napiga kwa mpangilio, na ni lazima nipate muitikio kwamba ujumbe unafika, labda kwa kulia, in which case naweza kuwa nakuumiza sana vile vile, we mwenyewe utanambia wapi panauma nitabadili kipigo ama upande wa kupigia. Ila kuna wakati mwingine si vema kujipanga saaana jinsi ya kupiga, unaacha upepo unavyokwenda uchukue mkondo wake.
 
Mimi hapa!tatizo tutatofautiana kupima oil mapemaaa..uongo? mana ili nihamasike inabidi nionje ndo way forward ifate..........sasa utaanza oooh tusubiri mpaka ndoa...cjui ka kuna jembe linanunua mbuz kwenye gunia.........labda kwenye mapambio inasemekana
 
Mtafute mdogo wangu Remote anatafuta mwema na yeye.
 
Last edited by a moderator:
narudia sitaki na sipendi kupigwa, nashauri ukaoe mkoa wa mara labda utampata uliyeumbwa kwa akili yake ili uweze kumpiga
 
ukionja usihamasike itakuaje,? Madaktari wapo si wanajua kucheki watu kama wako normal.
 
narudia sitaki na sipendi kupigwa, nashauri ukaoe mkoa wa mara labda utampata uliyeumbwa kwa akili yake ili uweze kumpiga

kwa hiyo sisi wa kutoka huko kitumbua kishaingia mchanga tena?
labda swali la msingi hapa ni kwamba imekuwaje binti kama wewe kuishia kuganga njaa kutafuta mume humu? kwenye maisha yako ya kila siku hukutani nao? au ndo vile tena "mayai" yako ktk last hour... edging towards expiring!!
kalaghabao!!
 
I am in my early twenties, in my most fertile period of my life mayai hayana tatizo. Una uhakika Natafuta mume jf pekee? Ndo maana nimeandika kama una sifa ya kuja kuwa mume mwema ndo unijibu.
 
Kila la kheri
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1377440205.026438.jpg
    23.4 KB · Views: 97
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…