Maelezo yako mafupi mno. Mume mwema unayemtaka awe na sifa gani. 1. Orodhesha hizo sifa zote unazodhania ndizo sifa za mume mwena. 2. Geuza hizo sifa za kwenye orodha yako ndizo ziwe sifa za mke mwema halafu ujipime mwenyewe kama unazo hizo sifa. Kama utapungukiwa na baadhi ya sifa basi inakubidi uzitafute au uzifanyie mazoezi mpaka uziweze, la sivyo unaota ndoto za Alinacha.
habari pesandogo, nimefurahishwa na uhitaji wako japokua wasio na nia wanakatisha tamaa wana jf. Heshima, Upendo, na Uaminifu ni muhimu katika ndoa, nami natafuta mwenza kama tukionana na kupendana tufuate utaratibu wa ndoa. Namba yangu 0757796905.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.